haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Natangaza haya hadharani: Nitapata ajira haraka baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza

    Kutokana na tatizo la ajira, vijana wengi wanaishi kwa msongo huko chuoni juu ya vipi wataishi baada ya masomo. Kwa akili zangu timamu, mimi kijana ninaesoma Shahada ya kwanza ya Ualimu, katika moja ya chuo hapa jijini Dar es Salaam, nina imani kuwa sitakaa mtaani muda mrefu nikisubiri ajira...
  2. JamiiForums Tanzania Fanya haya kutatua changamoto ya spika simu inayokoroma

    Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya Yanga na Simba day?

    Poleni na heka heka za weekend. Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023. Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once. Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Wazazi wananizuia kuondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha

    Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu. Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine. Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  7. JamiiForums Tanzania Ngano ndio kete aliyokua amesalia nayo Mrusi, haya Ukraine kutumia Croatia

    Baada ya Urusi kuona imeshindikana kwa namna yoyote kuipiga Ukraine, ikaamua kuzuia usafirishaji wa ngano, haya sasa Ukraine na Croatia waingia makubaliano na mlango mpya umefunguka.................. July 31 (Reuters) - Ukraine and Croatia have agreed on the possibility of using Croatian ports...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anaratibu haya kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?

    Rais ni mkuu wa Serikali na nchi. Rais ni nembo yetu; fahari yetu; kiongozi wetu na kiungo chetu. Lakini, Rais ni 'mwajiriwa wetu' nambari moja nchini. Ndiyo maana, akifanya vizuri tunamsifu na akifanya vibaya tunamkosoa na kumsema. Tunapaswa kujua anakoenda na anachoenda kufanya. Labda kama...
  9. JamiiForums Tanzania Haya hapa Mashirika/makampuni 500 bora duniani, Afrika mbona kiza ?

    FORTUNE GLOBAL 500 -The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine. The following is the list of top 10 companies in 2022. Fortune Global 500...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa haya mkurugenzi wa wilaya Uyui unahusika

    Ahsante mkurugenzi wa wilaya Uyui kwa kutuletea mkuu mpya kutoka shule X ukamleta shule Y,lakini mkuu Huyu amekuwa na matatizo lukuki kuanzia utendaji wake mpaka mwenendo wake. Huyu alitolewa X baada ya kusababisha matatizo makubwa kipindi Cha usimamizi wa mtihani. Kashfa kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

    " Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile. " Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa. " Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
  12. JamiiForums Tanzania Hili ndio ombi maalumu la Mussa kwa binadamu kuondolea adhabu ya moto wa Jahannam

    Naam, Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe. Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu. Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
  13. JamiiForums Tanzania Endeleeni kujifanya mmejikita katika Mjadala wa Bandari na kuacha suala la ngano na mchele

    Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi. Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo. Nchi ya India...
  14. JamiiForums Tanzania Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake. Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Haya maisha sio poa kwakweli

    Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali...
  16. JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka Wachaga Wakinga Wapemba Waha Wanyantuzu/Wasukuma My Take Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu. --- MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii...
  17. JamiiForums Tanzania Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwa mazoea haya tutatokomeza UKIMWI?

    Tangu kuingia kwa ugonjwa wa ukimwi mwanzoni mwa miaka ya 80 harakati za kupambana na ugonjwa huu ni kubwa na mapambano yanaongezeka kasi kadri miaka inavyoenda. Ukweli ulio mchungu mpaka hii leo ugonjwa huu hauna dawa, na ulivyoingia ulipukutisha watu maana hakukuwa na kizuizi chochote wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila na sanasana ni zile koo za kichifu lakini bado ni tofauti kabisa na uchawi huu tunaozungumzia hapa wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k. Uchawi umekuwa ukisumbua jamii...
  20. JamiiForums Tanzania Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

    Hello wanaJF, Nimepata thread ama post nyingi Sana zikihofia kuhusu uwepo wa Mungu. Unapozidi kujifunza na kufahamu zaidi sayansi tunategemea uwe shuhuda mkubwa kuhusu uwepo wa Mungu lakini unexpectedly ndio unaanza kusema sayansi haiamini Mungu yupo. Ona hizi facts za kisayansi 👉...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…