Sitoi sadaka katika mazingira haya

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Hello!

Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka

●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina la mtu binafsi.
●Simpi sadaka anayehubiri barabarani au kwenye usafiri wa umma (mabasi) hasa akiomba sadaka. Pesa ampe aliyemtuma. Mungu hawezi kukutuma halafu ugeuke ombaomba. Hiyo haipo.
●Sitoi sadaka ambayo sijui inakwenda kutumiwa katika mazingira gani.
●Sitoi sadaka kwa mtu anayeweza kufanya kazi lakini tu kufanya kazi ya kuomba kama wale matonya wa posta.
 
WE TOA KISHA USIGEUKE NYUMA, WALA MKONO WAKO WA KUUME USIJUE YALE UTANDAYO MKONO WAKO WA KUSHOTO.
 
●Kwa namba ya simu iliyosJiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina la mtu binafsi.
●Simpi sadaka anayehubiri barabarani au kwenye usafiri wa umma (mabasi) hasa akiomba sadaka. Pesa ampe aliyemtuma. Mungu hawezi kukutuma halafu ugeuke ombaomba. Hiyo haipo.
●Sitoi sadaka ambayo sijui inakwenda kutumiwa katika mazingira gani.
●Sitoi sadaka kwa mtu anayeweza kufanya kazi lakini tu kufanya kazi ya kuomba kama wale matonya wa posta.
Kwa hiyo mwandika uzi umetuandikia misimamo yako ili iweje?, kwa faida ya nani? kuna mambo hata kama ni mazuri kwa upande wako ni vyema ubaki nayo mwenyewe si lazima uambie watu.. labda kama unatafuta attention jambo ambalo sio zuri kwa faida ya maisha yako... naondoka
 
SadakA sio pesa pekee jikague na kwingine Utagundua we ni mtoaji mzuri tu.
Kila mtu Ana madhabahu yake anakojitolea kwa moyo... Wengine kuhonga, wengine Kwenye Kula.
Na wanatoa kwa kumaanisha bila kupepesa macho.
 
Hello!

Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka

●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina la mtu binafsi.
●Simpi sadaka anayehubiri barabarani au kwenye usafiri wa umma (mabasi) hasa akiomba sadaka. Pesa ampe aliyemtuma. Mungu hawezi kukutuma halafu ugeuke ombaomba. Hiyo haipo.
●Sitoi sadaka ambayo sijui inakwenda kutumiwa katika mazingira gani.
●Sitoi sadaka kwa mtu anayeweza kufanya kazi lakini tu kufanya kazi ya kuomba kama wale matonya wa posta.
.
20230426_165053.jpg
 
Hujui maana ya sadaka.Wewe unaongelea pesa sio sadaka keep learning and reading your Bible utajua maana ya sadaka.Sadaka inafurahisha moyo wa Mungu, inamvusha mtu mmoja na inatakiwa ifanye kitu kwako wewe uliyetoa pia,hatutoi sadaka kwasababu ni sheria tunatoa sadaka kwasababu ni ibada, unapoweka hizo condition zako maana yake unamuwekea Mungu mipaka sasa,akiweka msukumo ndani yako wa kutoa sadaka mahali Fulani ambayo itavusha mtu wake na itafanya kitu kwako anakutana na vicondition kibao😃😃😃 Christians we need to learn to love God yaani mtu akiongelea sadaka kwa wakristo inakua issue ya pesa lol
 
WE TOA KISHA USIGEUKE NYUMA, WALA MKONO WAKO WA KUUME USIJUE YALE UTANDAYO MKONO WAKO WA KUSHOTO.
Hakuna kitu kama hicho

Biblia inasema watunzeni yatima na wajane. huo ni msisitizo kuwa ujue sadaka yako inaliwa na nani.
Yaani najua wewe ni nabii kitombi tu unatumia sadaka kulala na makahaba kisha nikupe sadaka kwa kusema eti toa usigeuke...hata shetani atakudharau. Siwezi kumdhalilisha Kristo kwa kiwango hicho.
 
Nabii mla jicho.
 
Hello!

Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka

●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina la mtu binafsi.
●Simpi sadaka anayehubiri barabarani au kwenye usafiri wa umma (mabasi) hasa akiomba sadaka. Pesa ampe aliyemtuma. Mungu hawezi kukutuma halafu ugeuke ombaomba. Hiyo haipo.
●Sitoi sadaka ambayo sijui inakwenda kutumiwa katika mazingira gani.
●Sitoi sadaka kwa mtu anayeweza kufanya kazi lakini tu kufanya kazi ya kuomba kama wale matonya wa posta.
Watu wanalizwa sana kwenye bahasha za redio maria
 
Hakuna mtu amewahi lazimishwa kutoa sadaka, sadaka ni ibada ya hiyari toka moyoni.

Kutoa kwenye Jina la taasisi hakusaidii chochote, maana what matters ni integrity ya wasimamizi.

Mfano: Wahuni wamawezs sajili huduma ya Agape Ministry International, ikawa complete na account.

Wewe kuweka hela kwenye account ya hiyo taasisi hakumaanishi usalama wa sadaka yako, usalama ni integrity ya hao wato.

Sadaka inatakiwa iwe na msukumo wa ndani, na tunaitoa tukiamini tumetoa kwa Mungu, wao wakitumia vibaya watajuana na Mungu tuliyempa.
 
U
Kwa hiyo mwandika uzi umetuandikia misimamo yako ili iweje?, kwa faida ya nani? kuna mambo hata kama ni mazuri kwa upande wako ni vyema ubaki nayo mwenyewe si lazima uambie watu.. labda kama unatafuta attention jambo ambalo sio zuri kwa faida ya maisha yako... naondoka
Usitetee utapeli ndugu
 
Hakuna mtu amewahi lazimishwa kutoa sadaka, sadaka ni ibada ya hiyari toka moyoni.

Kutoa kwenye Jina la taasisi hakusaidii chochote, maana what matters ni integrity ya wasimamizi.

Mfano: Wahuni wamawezs sajili huduma ya Agape Ministry International, ikawa complete na account.

Wewe kuweka hela kwenye account ya hiyo taasisi hakumaanishi usalama wa sadaka yako, usalama ni integrity ya hao wato.

Sadaka inatakiwa iwe na msukumo wa ndani, na tunaitoa tukiamini tumetoa kwa Mungu, wao wakitumia vibaya watajuana na Mungu tuliyempa.
Ni wakati sasa hizi sadaka zizibitiwe matumizi yake Watu wanajificha kwenye vichaka vya dini ili kuwaibia watu.
 
Back
Top Bottom