haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

    Habari zenu Wakuu wangu, Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia. Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie. Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Lini Polisi wetu watakuwa na haya Maarifa?

    Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi. Tizama Video Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza. https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
  4. JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya: 1. Hakikisha gari iko vizuri 2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5. Kama kwenu mbali yaani KM...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  6. JamiiForums Tanzania Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
  7. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

    Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇 1. Akiwa anatumia True Caller. Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

    Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit. Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

    Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini...... MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

    Hapo vip!! Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Haya ni maharage gani?

    Kwa Kiha yanaitwa KINULE! Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA? Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko. Kwa anayefahamu atusaidie jina kwa Kiswahili na upatikanaji wake ulivyo, na bei pia, katika miji...
  12. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni matumaini yangu katika Maombi yako 12 uliyoyaandika kwa Mtume Mwamposa, haya Muhimu hukuyasahau

    1. Mungu wa Mwaposa nisaidie Makonda nisiwe na Kiherere. 2. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nisiwe Jeuri kwa Wakubwa zangu 3. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nikamwombe Radhi Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Warioba baada ya Kumpiga na Kumkata Mtama Kipopoma. 4. Mungu wa Mwamposa nisaidie...
  13. JamiiForums Tanzania Haya Wahuni sasa mtasema nini?

    Muhuni mwenzenu kampokea Yesu na anawaita
  14. S

    JamiiForums Tanzania Haya mnaoilaumu TANESCO mmejibiwa na rais Samia

    Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke. Biteko hafai. Biteko ni tatizo. === FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni "Sio kwenye mitihani...
  15. JamiiForums Tanzania Somo juu ya BIBLIA na QURAAN kwa Ujio wa haya Marobort ya Kutisha

    Moderetors + Members habari,Poleni na majukumu, Nawaza katika vitabu vyetu vikuu vya Imani yaani BIblia na Quraan hasa katika utabiri wao wa siku za mwisho hapa Dunian.i Je vilijaribu kuonesha mwanga hata katika Lugha ya Picha Kuhusu ujio wa Tech ya AI.Je mitume na waandishi wa vitabu waliweza...
  16. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

    Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita. . Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani. Sababu za ajali ni pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Haya mabasi mnayoamsha na abiria asubuhi msiache kutenda mema siku zote

    Kidogo tumeanza kubadilika Majuzi nilisafiri na basi moja to Arusha Wakataka details zangu hamad nikaweka alarm, yaani sijaamka Nasikia simu habari naviga toka kampuni fulani safari yako ni saa tukukute kituo fulani muda wa kuamka sasa Nilipenda sana nikatamani na ndege mtuamshe hivi maana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

    Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake. Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa malezi haya ya watoto wa kizazi hiki, ni bomu linalokuja

    Nimeguswa na aina ya maadili waliyonayo watoto wa kizazi cha leo, ni kama wazazi wameacha majukumu yao katika malezi. Wakati wa malezi yetu tulifundishwa hasa watoto wa kiume shughuli zote za nyumbani, ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha. Pia kwa watoto wakiume walipewa mafunzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…