1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...