Wanauchumi na wenye ujuzi wa haya nielewesheni

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,799
3,817
Wakuu habari za uzima?

Leo nilikuwa naomba nijifunze kitu hapa.

Nafikiri wengi tunasikiaga marekani anawekea nchi fulani vikwazo vya kiuchumi, kutokana kwamba yeye ni super power duniani.

Wanauchumi na wajuzi ya haya mambo naomba mnieleweshe hivi vikwazo vya uchumi vinakuwaga vipi? Na huwa vinaathiri vipi nchi husika?

Nawasilisha

Karibuni.
 
Back
Top Bottom