haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Haya sasa Fadlu muda wako wa kupigwa chini

    Jamani naomba mnipe idadi ya makocha waliofukuzwa Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Sisi mashabiki wa Simba ni wapuuzi sana hatuongei ukweli kuhusu uongozi wa Simba chini ya mangungu na benchi la ufundi lenye fitina na figisu nyingi.
  2. Stuxnet

    Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  3. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  4. Alphabrandz

    Usinunue simu kabla hujayajua haya

    Habari za wakati huu wana JF, Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya. Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka husika kwa mfano sasa IPHONE 16 TU nyingine ni refurb hata ikiwa kwenye box, SAMSUNG mpya ni S24 ULTRA...
  5. KENGE 01

    Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

    Salaam Wakuu. Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya? Twende...
  6. R

    Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

    Nawasalimu popote mlipo, Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya Siku ya Jana nimeona Kwa vyombo vya habari zao la korosho kuuzwa mara mbili zaidi ya bei ya msimu uliopita Pia...
  7. W

    LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
  8. Chief Kumbyambya

    Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

    Baada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile. Sasa ulikua unatoa namba ya nini?
  9. I

    Hivi haya mambo yana faida gani kwa Walimu zaidi ya kutapeliwa hela? Nani aliyeturoga?

    Habari za saa hizi Makada wa CCM. Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  11. Malaika wa Waha

    Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

    Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate, Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
  12. R

    Nani anagharamia haya matamasha na festival? Kama tumeanza matamasha 2024 hadi tufike 2025 Oktoba tutatumia trilioni ngapi za umma?

    Natambua joto la uchaguzi limepanda sana huku maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu. Natambua wazi kwamba njia sahihi ya kumpumbaza maskini nikumpa pombe na chakula. Natambua pia kwamba pombe na chakula cha siku moja siyo tiba yakudumu ya maskini bali tiba yakudumu nikumpa fursa za...
  13. Thabit Madai

    Siku ukipendwa utayaona haya

    Leo wacha tuamke na hii, Mwanamke akikupenda, atapambana kwa nguvu zote ili akupate, wanambinu kali ya kumpata mwanaume kuliko hata wanaume walivyo na uwezo wa kutongoza Mwanamke. Hatokuonyesha greenlights pekee lazima atafanya ata mawasiliano yawe ya hisia sana juu yako bila hata aibu...
  14. PureView zeiss

    Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
  15. Chrismoris

    Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

    Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu...
  16. State Propaganda

    Vikwazo dhidi ya Urusi vyazidi kuichakaza EU. This time

    Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

    Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo. Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
  18. M

    Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
  19. third eye chakra

    Tunza Afya yako kwa kuzingatia haya

    👉 AFYA NI TUNU👈 ❗CHUKUA NA HII👇👇👇👇 🔞walau mara 2 kwa wiki uwe unafanya hako kamchezo hapo😀usikubali vitunguu na nyanya ziharibike hata siku 1❗ 🌹🌹Faida zake🌹🌹 🧅🧅🧅FAIDA ZA KITUNGUU MAJI🧅🧅🧅 🌺🌺kuuwa bacteria 🌺🌺 dawa ya vidonda 🌺🌺dawa ya upere 🌺🌺dawa ya Maumivu kwenye ngozi 🌺🌺dawa ya kifua...
  20. Mohamed Said

    EAMWS Isingepigwa Marufuku Haya Yasingewezekana

    EAMWS ISINGEPIGWA MARUFUKU HAYA YASINGEWEZEKANA Laiti EAMWS isingepigwa marufuku na serikali mwaka wa 1968 kuwa ni jumuiya haramu na Chuo Kikuu kikajengwa hayo utakayosoma hapo chini yasingewezekana kutokea wala kuwapo. Mizani ingekuwa sawasawa baina ya waumini wa pande zote mbili. Allah...
Back
Top Bottom