comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,551
- 17,613
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote zile hata za vitu vya Haramu kama mpo kijiweni?
Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?
Yani mnaalika watu wenye pesa zao waje wafuturu (SIO wasiojiweza!), na mkiwa huko hamzungumzii mambo ya Imani labda kumrudia Mungu au nini NI watu wanapitisha mambo Yao, Mpira, Sasa au Biashara.
Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.