hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  2. Sheria ya malezi iseme; kama Mwanamke hawezi Kulea mtoto ampeleke Kwa Baba yake. Hiyo ndio Mantiki na si vinginevyo

    SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
  3. Shule zetu (Kayumba vs Wakishua (private schools)

    Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili. Maskini ataendelea kuwa maskini Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga! bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
  4. Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  5. F

    DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

    Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili. Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
  6. Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
  7. Mkitaka kujibizana na CHADEMA someni sana. CHADEMA ni weupe, wazushi na hawezi siasa za hoja na ukweli

    Mdude Chadema @mdudechadematz Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi...
  8. S

    RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka. Amos Makalla aliazisha...
  9. Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

    Ni ukweli kijana yupo vizuri anaijua historia ya timu husika na hachoshi kumsikiliza 🙌🙌
  10. Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

    Naingia moja kwa moja. Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo. Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr Harmo amefikia viwango vya hatari sana. Nimetoka kuangalia video yake: MWENYEWE, ameachia masaa machache...
  11. Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa

    Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa. Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na...
  12. Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

    Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
  13. P

    Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  14. Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

    Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala. Mwanaume anajiona...
  15. "Technically" Godbless Lema hawezi kurejea nchini mpaka baada ya miaka Mitano (5)

    Leo ngoja niandike kitu kimoja watu wapate uelewa hasa MATAGA wanaosema mbona Tundu Lisu na Lema hawarudi. Nitaongelea zaid kwa Lema. Katika maisha wanasema "golden chance never comes twice" katika kitu Lema amekipata cha maisha yake yote ni kupata ukimbizi wa kisiasa "asylum seeker" inchini...
  16. Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

    Hii nakupa chukua.. Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua. Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
  17. Mungu asipokuona watu hawezi kukuona. Aliyeonwa na Mungu huwezi kumficha

    Sabato Njema Wakuu! Mungu akikuona Watu watakuona, aliyeonwa na Mungu kamwe huwezi kumficha asionekane na watu. Mungu akikukubali hakuna atakayekuzuia. Lakini haimaanishi vipanya na ndorobo havitatokea kukupigia kelele. Lakini siku zote kelel za panya hazimzuii Paka kulala usingizi. Kijana...
  18. Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

    Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
  19. M

    Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

    Ruto alimkiri na kumtumaini Mungu hadharani, matokeo yake mwulize Uhuru Kenyata na Raila Odinga. Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa! Leo hii Watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana...
  20. Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji. Ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…