hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

    Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji. watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada. Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Thea Ntara: Dawa za P2 zinatumika vibaya, Serikali ichukue hatua

    Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo. Amesema hayo...
  3. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA kurushwa live ni hatua ya kihistoria ya uwazi na demokrasia

    Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  5. Mobutu JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Ushawahi mpaka kufikia hatua ya kuchanganikiwa

    Wakuu, Mapenzi ni ugonjwa,Kuna wakati unaweza ukapenda mpaka ukaona Bora watu wote wafe ⚰️ili Dunia yote iwe Yako peke yako Kuna kipindi nilimpenda mdada mmoja hivi black 🖤 ❤️ sana nilikuwa nahsi kama ndipo nimefika,hata kama nikiambiwa mabaya yake hakika nilikuwa naenda kumwambia Nilikuwa...
  6. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Tambua hatari na chukua hatua za kujikinga

    Mit 22:3 SUV [3] Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Sio ajabu kumwona mtu anakimbilia jambo ambalo ameliona kabisa lina athari kwake, linaweza likawa na athari kwenye maisha yake ya kimwili au kiroho. Tunaweza kuona ni kitendo cha kishujaa ila...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Thea Ntara: Wasanii wanaovaa vibaya na Wanawake wanaocheza vigodoro wakiwa wamelowesha nguo wakamatwe

    Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua

    24 May 2025 Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua.. https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  13. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto. Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto? Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  16. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Hatua 5 Rahisi za Kuanzisha Blog Yako ya Kwanza.

    Katika dunia ya kidijitali ya leo, kila mtu ana nafasi ya kusikika. Ikiwa una mawazo mazuri, habari, elimu au kipaji cha kipekee – blog inaweza kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe wako kwa ulimwengu. Hapa chini tunakupa hatua 5 rahisi za kuanzisha blog yako ya kwanza bila presha. 1. Amua Unataka...
  17. Solo Traveller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TASHICO: Maboresho ya Meli ya New MV Victoria yapo hatua za mwisho, tutatoa tamko hivi karibuni

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni. Mei 11, 2025 Mwanachama wa...
  19. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufata ili namba ya NIDA iliyofungiwa iwe accessible tena.

    Je kwa zile namba ambazo Bashungwa amezizuia kutokana na kutochukua vitambulisho ni Nini Cha kufanya ili ziwe active tena.
Back
Top Bottom