Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto.
Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto?
Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
Katika dunia ya kidijitali ya leo, kila mtu ana nafasi ya kusikika. Ikiwa una mawazo mazuri, habari, elimu au kipaji cha kipekee – blog inaweza kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe wako kwa ulimwengu. Hapa chini tunakupa hatua 5 rahisi za kuanzisha blog yako ya kwanza bila presha.
1. Amua Unataka...
Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote..
Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu
Acheni, ni mbaya
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Mei 11, 2025 Mwanachama wa...
ASILI ni mafumbo.
Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi.
Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea!
Usijari solution yake ni! (KIKUNTI)
Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
1. Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu.
2. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Bcc: Nay...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili.
Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
Kama wasemavyo maisha ni hatua ndivyo ilivyo japo inahitaji nidhamu na subira ya juu sana kuunganisha hizo hatua ili upate umbali mrefu.
Ukimuona mtu yupo mbali kwenye jambo fulani kuna uwezekano mkubwa alianza na hatua ndogo ndogo ambapo zikiwekwa pamoja ndio huo umbali alionao sasa...
Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa
Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina
Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA.
NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA
.1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara.
2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku.
3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi.
4.Wakija watu kukukamata...
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.
Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.
Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA...
NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa.
Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma.
Amesema, kutokana na...
Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi,
Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.
Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.