hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Sekta ya Madini imepiga hatua, naipongeza Tume ya Madini ukusanyaji maduhuli

    NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema, kutokana na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

    Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia. Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Watanzania Chukueni hatua wenyewe acheni kutegemea chama kuwakomboa

    Nawaambia Chukueni hatua Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli Kama ni doctor akija fyeka
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua hutoishi milele, umechukua hatua zipi?

    Chochote chenye mwanzo huwa kina mwisho. Na wewe kama ulizaliwa, hutofikisha miaka 100 ya kuishi hapa duniani. Ni muhimu kufahamu ya kuwa, na wewe una mwisho wako. Kwa upande wangu, baada ya kuligundua hilo; nimekuwa nikiishi kwa kutenda wema sana bila kuwakwaza wengine. Nimeacha mambo ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

  7. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  8. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video:-Mbunge hadi anafikia hatua ya kusema hivi bungeni ni kwamba huko jimboni kwakwe hakuna changamoto yoyote ile?

    Hata kama pengine bungeni kuna muda wa kuchekesha au kusema utumbo utumbo ndo useme hivi kweli ? Mwisho wa siku ulipwe posho ?
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHUKUA HATUA

    Amelaaniwa mtu yule Mwenye kujibidiisha kwa makusudi kuyaendea visivyo Maelekezo ya Mwenyezi Mungu huku akili ikiwaza hila na janja iliyojaa choyo na Ubinafsi ya kuwadhulumu Mafukara.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliyofikia, itoshe kusema mapenzi bai bai

    Kwa sasa hata marafiki zangu wa karibu waliokuwa wananishauri kuhusu mahusiano yangu wakiniona wanaanza kukohoa kama sio kucheka kama mimbuzi Yule wa juzi nilimfuma koridoni akiwa kwenye mzio mzito na jirani yangu Nikabaki na kiliwazio (Binti fulani hivi wa Mtwara ambaye alinitamkia kunipenda...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Walioshindwa Kurejesha Mawasiliano Somanga Kuchukuliwa Hatua: Ulega

    WALIOSHINDWA KUREJESHA MAWASILIANO SOMANGA KUCHUKULIWA HATUA: ULEGA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesisitiza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) waliouhusika na uzembe wa kushindwa kurejesha kwa wakati mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu hadi unafika hatua ya kujiuza/ukahaba/umalaya au u barmaid ni kwamba umekoswa kabisa kazi ya kufanya?

    Hi 👋 Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha. Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo. Swali langu ni hili hapa duniani kote kuna kazi kibao halali na nzuri kabisa za kufanya bila kificho,hofu wala woga wowote na...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali na TFF ichukue Hatua ya kuwadhibiti hawa Wassmaji wa Vilabu

    Nimepitia maoni ya watu wengi kuhusiana na hawa wasemaji wa vilabu. Wengi wao hawana weledi. Angalia namna msemaji wa Simba alivyokua akimuongelea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, juzi Kamwe kamtolea maneno ya hovyo Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kashfa na kumshambulia binafsi. Wasemaji sasa wanaweza kuwatweza...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazotolewa na CCM azichukuliwagi hatua tofauti zile zinazotolewa na upinzani

    Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli. Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea. Kitendo cha Amos makala kutoa kauli...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

    Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi. Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
Back
Top Bottom