hatua kwa hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoweza kuwa professa, Hatua kwa hatua

    Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo. Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki forecast yajayo hadi kifikia hapa nilipo pia nahitaji vijana wa kuweza kiwa monitor ili kufanya...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza Facebook Ads hatua kwa hatua

    Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page, ad account, watu wa timu na matangazo yako sehemu moja. Hatua ya 1: Fungua Facebook Business...
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua wametuondolea Uhuru hadi wamefikia kusema ya hatuna haki ya kusherehekea Uhuru wetu

    Walianza zamani kumuondolea Uhuru Mtanzania. Pale Mnazi Mmoja, alama ya uhuru wa Tanganyika, wakaweka uzio. Hakuna mtu kuingia au kutoka. Labda vile vyuo vya India na China ndiyo vinaruhusiwa kupatumia. Hadi Watanzania wamepasahau na umuhimu wa sehemu ile. Hili ndiyo lilikuwa lengo ili msije...
  4. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua, Jinsi ya kuiba nyama kwenye hot pot

    01.Ingia jikoni,angalia kushoto na kulia Kama Kuna mtu anakuja 02.Angalia mkao wa mwiko / kijiko umekaaje ili mda wakuondoka uache vile vile usigeuze, usifanye kosa kizembe 03. Fungua hot pot pole pole ,usiache mfuniko upige kelele au uanguke(utashtukiwa) 04.Hesabu vipande vya nyama hakikisha...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Barabara ya Pawaga mpaka Izazi kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua

    Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa wananchi wa Isimani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi William Lukuvi (Mb) Isimani wakati...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utekaji unavyofanyika hatua kwa hatua

    Utawala wowote dhalimu unaoelekea ukingoni huwa kama mbogo aliyejerujiwa.. Hufanya mambo ya kikatili na ya kutisha sana ikiwemo Kuteka wapinzani wake Kuwatesa Kuwajeruhi Kuwatia ulemavu Kuwaua Kuwapoteza wasipatikane popote tena.. Hofu kubwa ikiwa ni kama watapoteza udhibiti basi wanajua wazi...
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda nyumba simple lakini classic tukutane hapa

    HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA 1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA 2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
  14. James M Kiingereza HkH

    JamiiForums Tanzania New app for learning English: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English. Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua. I'm the author of this course and I feel that it has the potential to have a very positive impact on education in Tanzania, in particular by providing a...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

    Moshi. Novemba 6 mwaka jana, Tanzania iliamshwa na habari mbaya za kuanguka kwa ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba mkoani Kagera na kusababisha vifo vya abiria 19, huku 24 wakiokolewa. Ndege hiyo iliondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  16. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya 1: Namna ya kuweka matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii (Facebook Ads na Instagram Ads) hatua kwa hatua

    Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na instagram ambayo ndio imekuwa inawatembeleaji wengi zaidi). Nitaonesha hapa hatua kwa hatua namna ya...
  17. McMahoon

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  18. Abuu Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

    Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi UTANGULIZI Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

    Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972 Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi, Sawa na idadi ya miaka minane ya utawala wake tangu 1964 hadi kifo chake. TUKIO LENYEWE LILIKUA HIVI;- Rais Karume...
Back
Top Bottom