Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi lakini pia nafanya na sekta ya umma kwa vipindi tofauti tofauti.
Kiufupi mimi si mrefu wala si mfupi...