Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,233
22,317
Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.

Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka ambao Komredi Jokate Mwegelo alihitimua.

Hawa mabinti wadogo wawili walifanya vizuri sana kwenye mitihani yao. Inajulikana Jokate alipasua division one kali sana pale St Anthony Mbagala ila kwa Vanesa imekuwa haisemwi sana kuhusu elimu yake. Ukiangalia matokeo ya Vanesa form IV utaona alipiga Division II.19 (Tamka Two ya 19)
CIV-D HIS-C GEO-C KIS-C ENG-B FRE-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-D
huku akiwa pia kafanya vizuri masomo ya sayansi kama ilivyokuwa kwa Jokate.

Sijui zaidi kuhusu nini kiliendelea baada ya matokeo hayo ya form IV ila itoshe kusema kuwa Vanessa alikuwa kipanga shuleni. Hii nimeandika makusudi ili mabinti walio shuleni wajue shule ni muhimu kuliko kukimbilia umaarufu huku kichwani ukiwa mtupu. Vanessa na Jokate ni mifano hai ya kuigwa na wasichana wote Tanzania.
 
Div II.19 ndio ukipanga mkuu?

Ili uwe na hiyo Div kwa wakati huo, wastani mzuri wa grade walau ulipaswa kuwa hivi B B C C C C C, hapo B = 61 - 80, C = 60 kwenda sijui hadi ngapi huko chini nimesahau ila kama sikosei ni 41. Hapo kama kuna somo alipata A basi kuna mengine alipata D
 
Div II.19 ndio ukipanga mkuu?

Ili uwe na hiyo Div kwa wakati huo, wastani mzuri wa grade walau ulipaswa kuwa hivi B B C C C C C, hapo B = 61 - 80, C = 60 kwenda sijui hadi ngapi huko chini nimesahau ila kamq sikosei ni 41. Hapo kama kuna somo alipata A basi kuna mengine alipata D
Skilinganisha na akili zake anaona hiyo 11.19 ndo kipanga.

Uhuru wa kuongea ni utumwa pia
 
Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.

Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu mwaka 2003 ambao pia ni mwaka ambao Komredi Jokate Mwegelo alihitimua.

Hawa mabinti wadogo wawili walifanya vizuri sana kwenye mitihani yao. Inajulikana Jokate alipasua division one kali sana pale Loyola ila kwa Vanesa imekuwa haisemwi sana kuhusu elimu yake. Ukiangalia matokeo ya Vanesa form IV utaona alipiga Division II.19 (Tamka Two ya 19) huku akiwa pia kafanya vizuri masomo ya sayansi kama ilivyokuwa kwa Jokate.

Sijui zaidi kuhusu nini kiliendelea baada ya matokeo hayo ya form IV ila itoshe kusema kuwa Vanessa alikuwa kipanga shuleni. Hii nimeandika makusudi ili mabinti walio shuleni wajue shule ni muhimu kuliko kukimbilia umaarufu huku kichwani ukiwa mtupu. Vanessa na Jokate ni mifano hai ya kuigwa na wasichana wote Tanzania.
2003 form 4 halafu sasa hivi 2023 utaisikia anakuambia ana miaka 28
 
Div II.19 ndio ukipanga mkuu?

Ili uwe na hiyo Div kwa wakati huo, wastani mzuri wa grade walau ulipaswa kuwa hivi B B C C C C C, hapo B = 61 - 80, C = 60 kwenda sijui hadi ngapi huko chini nimesahau ila kamq sikosei ni 41. Hapo kama kuna somo alipata A basi kuna mengine alipata D
Kwahiyo ni kilaza? Acha chuki za kifala wewe.
 
Back
Top Bottom