hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  2. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Ukitaka uwazi katika uwajibikaji wa Polisi ruhusu wawe wanarekodiwa na Raia hata ndani ya kituo cha polisi

    IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

    Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025. Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watoto wa wapigiwa kura hata mahabusu wanalala VIP

    Hili tabaka la wapigiwa kura na wapiga kura linazidi kuonekana. Rafiki yangu siku nyingi aliniambia wapigiwa kura hata wakiugua hawatibiwi katika zahanati zetu zilizojaa paracetamol. Watoto wao wanasoma Feza na hata ikitokea watoto wao wakumbane na mkono wa sheria, polisi atalala kwenye ofisi...
  5. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Hata TTCL wamepandisha bei ya vifurushi

    Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/- Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
  6. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hata kufeli ni kufaulu

    KUFELI ni kushindwa kukamilisha jambo kwa wakati. Husababishwa na hofu, kukosa uzoefu au kukosa kujiamini. Hakuna mafanikio bila maumivu, hata mbegu hulazimika kuiumiza ardhi kwa kuipasua ili itoke. Hivyo kijana unapofeli, badala ya kulalamika, kujiona huwezi hata kutafuta mtu wa kumlaumu au...
  7. Willima

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, kuongeza sifuri kwa mgongo wa tozo ni kuendeleza mateso kwa wananchi

    Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi...
  9. vnn

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie Walimu wanaojitolea iwasaidie hata kwa chochote

    Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
  10. uran

    JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mitindo ya Koffi Olomide siielewi hata kidogo

  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Tanzania hawajawahi kufanikiwa chochote maishani, hata tu ufaulu wa mitihani

    Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa. Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza...
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku. Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa. MY TAKE...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni Byuti, ndio mfungwe sekunde ya 30?

    Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri) Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hata Trump haamini, amebaki kinywa wazi na kushindwa kutweet chochote mpaka sasa!

    Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mliokosa nafasi zoezi la Sensa 2022 msipotoshe. Tuliopata nafasi tuna sifa na vigezo. Hata kuwa na connection ni akili

    Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo. Kwa miaka...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bongo kila kitu kinawezekana, Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani Kaoneka ambaye ndiye bingwa

    Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
Back
Top Bottom