Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p.
Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli.
Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba...
Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza
Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
Hamjambo!
Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu;
1) Mfalme/Rais.
Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja.
Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
Tabia yoyote hapa duniani hutengenezwa au watu hujifunza na mwisho wa siku ndio inakuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku.
Leo ningependa kuzungumzia kuhusiana na kujenga tabia ya kuweka akiba hata kwa kiasi kidogo sana cha buku mbili tu kwa mwezi ( 2,000/=)
Tukiwa na tabia ya kuweka akiba...
na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa,
Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu.
Tz mapori ni mengi sana
Kachezeni mnapochezaga!
Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu.
Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu.
Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao.
Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea.
Inakuwaje mnajitengea tril moja kujilipa kwa ajili ya safari lakini mmesahau kusaidia watu walioathirika na ufisadi wenu.
Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu!
Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza
Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo
Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake
Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena,
Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani?
Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani?
Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
ni kweli sisi ni watu backward sana, angalia tu mfano belfast imewaka moto kwa sababu tu mtu wao amekuwa attacked na foreigner, haijalishi kosa ni la nani lkn ile tu kujumuika wote na kumtetea mtu wao speaks volume man, hata india wametuzidi kuna mwafrika alibaka mwanamke wa kihindi wahindi...
Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala bora, kukandamizwa kwa demokrasia na uhuru wa maoni.
Uamuzi huu ulitangazwa jana Mei 03, 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.