hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

    Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa. Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
  4. Mr George Francis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

    𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘𝗭𝗜 Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe. Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa namna fulani inakuvunjia heshima, inaongeza dharau hata thamani yako inashuka sana. Mwanamke ni...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tangu alipofariki Shujaa wa Afrika John P Magufuli taifa la Tanzania lina mpasuko mkubwa kisiasa, kidini na hata Ideologically

    Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote. Aliunganisha wananchi wote wa...
  6. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

    Kuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu Twende kazi
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimehesabu mpaka sasa zaidi ya wanawake 150. Sijui hata nisemeje

    Sijisifii... Nasikitika tu kuwa nimekuwa na tabia mbaya sana. Nimetembea na zaidi ya wanawake 150. Hao ni ambao nimewakumbuka. Nimeona maumbile ya aina tofaut tofaut. Kuna ambao ni flat, kuna yalitotutumka, kuna yenye lips nene, kuna yenye mishavu dodo, kuna yaliyonyambuka nyambuka, kuna kavu...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Balozi Dr. Slaa: Hata wakutane na Papa Mara 1000 hakuna kitu Watabadilisha

    Mimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu. Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
  10. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Ukisoma Ripoti za Uchumi wetu ni nzuri sana lakini Wananchi hawana fedha mfukoni

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
  13. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazosababisha gharama za ujenzi kutofautiana hata kama mchoro ni uleule

    Hata kama mchoro wa nyumba ni uleule, gharama za ujenzi zinaweza kutofautiana sana kutokana na mambo yafuatayo: 1. Mahali pa Ujenzi (Location) Bei ya vifaa hutofautiana kulingana na eneo Gharama za usafiri wa vifaa (mchanga, kokoto, saruji n.k.) Upatikanaji wa mafundi na malipo yao 2. Aina na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wasauzi wamechafukwa mno: Hawataki wageni sasa bila hata uoga

    South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda...
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania "CHADEMA mnaringa na msiba wenu, hata sisi tutafiwa tu na sisi turinge" Maneno ya Mdau

    Kuna video moja nimeona inasambaa ikionyesha mdau mmoja akisema CHADEMA wanaringa na msiba wao huku akiahidi kwamba na "wao" wanasubiri msiba wao ambao utafana zaidi ya msiba wa CHADEMA ili nao wapate kuringa. Huyu mdau akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa tena msiba "wao" utakaofana utatangazwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Yametimia! Ukijiheshimu utaheshimiwa. Yes, hata na Trump!

    Balozi wa Marekani Burkina Faso, Joann Lockard, ameomba kuonana na Captn. Traore, ila Captn akamjibu ana shughuli nyingi na akamtuma Waziri wake wa Mambo ya nje,mwezi huu. Utakumbuka nimeripoti hapa kuwa baada ya Trump kuwapiga marufuku raia wa Mali, Niger na Burkina Faso (sawa na wetu wa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  20. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Tangu asubuhi sijauza hata mia na nipo mjini kati, mambo yangu yanakwama kwa kasi, nachanganyikiwa

    Nakosa hata la kuongea wakuu, aisee!
Back
Top Bottom