hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    Hata wakiandamana wachache kesho, hii kitu imepenya

    Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi, ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani. Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
  2. M

    Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

    Siamini uchawi, Hakuna uchawi
  3. Stuxnet

    GE2025 Hata kama maandamano ya 29/10 hayatafanikiwa, message itakuwa "sent"

    Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:- 1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili...
  4. The Burning Spear

    Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  5. tonicimmobility

    Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

    Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
  6. M

    Muda mzuri wa Polisi kupiga hela; Tafteni chambo hata Copro atoe tamko la kuunga mkono maandamano ili wakuu waje mezani watoe mpunga

    Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe) Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau! Wote hawawezi...
  7. britanicca

    Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

    Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
  8. A

    Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

    Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
  9. T

    Kuna wakati utahitajika kuusikia UKWELI hata kama utakuwa ni mchungu

    Andiko hili ni kwa hisani ya ndugu Vareliano Ulrick Mtundu "..........mfalme akamwambia Yeremia, nataka kukuuliza neno, nawe USINIFICHE neno lolote. Basi Yeremia akamwambia Sedekia, kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza." (Yeremia...
  10. I

    MSSADA:GEARBOX LEAKAGE HATA BAADA YA KUBADILI SEAL

    Wadau salam. Poleni na shughuli za kulijenga taifa. Nina Suzuki Swift 2008 gearbox ni CVT. Nimebadili gearbox,seal ya kwenye pump pale mbele ikawa inavuja.Tukaibadili tena kama mara tatu lakini bado inavuja. Maoni yamekuwa mengi. Moja,naambiwa pump imekufa.Na naambiwa kufa kwa pump ni bush...
  11. M

    GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  12. Just Pray

    GE2025 Ulega: Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita msiogope, tokeni mkapige kura

    Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
  13. Carlos The Jackal

    Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  14. M

    Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  15. Tajiri wa kinyankole

    Kwa sasa nimeamini utekaji unaoendelea una baraka za wakubwa. Kiranja mkuu hajawahi kufikria hata kumwambia IGP ajitazame kwa yanayotokea na kuendelea

    Kilanja mkuu anajuwa utekaji huu maana wengi wamepotea hakemei wala IGP hamwajibishi , kilanja mkuu anaona haya yako sawa kabisa! Aisee hatar sana
  16. Abraham Lincolnn

    Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  17. D

    Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  18. Ndengaso

    GE2025 Hata ajira hawa wanazo wamezificha wanasuburi wabustiwe

    Salamu, Ya Mwendokasi mmeyaona ? October 29 Twendeni tukawaboost. Ajira Zipo.
  19. D

    Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Sikiliza kionjo tu cha dakika moja kisha toa maoni.
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
Back
Top Bottom