hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  2. Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  3. Kikubwa wote tumefungua kinywa hata kama mmenizidi!

  4. B

    Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

    Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio. Kweli wanaume tumeumbwa mateso. Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaidi wengine. Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke...
  5. John Mnyika: Nakiona Kitanzi cha Bima ya Afya kwa wote kabla hata hatujafika Mbali

    Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja ilikuwa chini ya 2100 halafu pricing list mpya ya NHIF inayoanza kutumika kesho Machi Mosi Petroli ikiwa...
  6. Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

    Kila la Kheri National Al Ahly FC mechi yao ya mwisho ya CAFCL huko Kwao Weekend hii japo bado sijajua anacheza na nani.
  7. Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

    Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja. Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote. I real don't...
  8. T

    Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  9. G

    Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  10. Z

    Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  11. Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza. Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu. Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika...
  12. Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  13. Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue. Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
  14. B

    Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

    Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
  15. Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  16. Nimekuwa mtu wa hasira hata kwa watu wangu wa karibu

    Sijajua ni Nini hasa inanifanya Mimi kuwa na hasira kupita kiasi mpaka kwa watu wangu wa karibu, Kwani nimekuwa nikiwajibu majibu ya mkato mpaka wanakuwa wanashangaa Wengine huishia kunyamaza na wengine huniambia kuwa nimewajibu vibaya, Hii Hali imeanza mwezi huu wa kwanza, natamani Sana...
  17. Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
  18. F

    Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  19. Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

    Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani. Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel ambayo imeshaua karibu wapalestina 28000 na nyengine kwa Ukraine inayopigana na Urusi. ===========...
  20. Lord Eyez: Hata 1994 tulikuwa hatu-rap anavyo-rap 'Wakazi' sasa

    Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar. TUKIO: Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…