hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

    Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, zuio la mikutano ya upinzani kwa miaka 5 ni faida au hasara kwa waliotoa wazo hilo?

    Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi

    Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia hasara mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ya shilingi milioni 48. Geoffrey Kilimba, amesomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Godfrey Kusaya na...
  4. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM ya Sasa ni hasara kwa taifa na chama chao, hawawezi mijadala

    Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k. Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa. Tanzania ikiwakilishwa na vijana wa wakati huo ilikonga nyoyo za washiriki wa makongamano Kimataifa ...
  5. Castr

    JamiiForums Tanzania Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
  6. palahingwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

    Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Uingereza kuipiga marufuku kampuni ya Huawei ni hasara kwa Uingereza na maendeleo ya teknolojia ya huduma ya 5G

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
  8. dosama

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalam wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

    Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
  9. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za East Africa Community (EAC)

    Ndugu wana JF naomba kiwasilisha. Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki. Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa sababu kadha wa kadha. Je, zile sababu zilizosababisha kuvunjika kwa Afrika mashariki ya zamani...
  10. Superjet ndenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania TBS na TCRA mmeruhusu wizi, watu wamepata hasara

    Wana JF, Katika serikali makini TBS na TCRA wametuangusha sana kwa kuruhusu wizi wa kichina. Anavyokuwa: watu ambao hawana fani yeyote ya ufundi, wamevamia mitaa na kulaghai watumiaji wa smart phone kuwa wanatengeneza kioo cha simu kwa kuweka liquid ambayo inakifanya kiwe imara, kwamba...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa zahanati ya Tambukareli mbaroni kwa kuisababishia serikali hasara ya Tsh. Milioni 14

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Jijini Dar es salaam imefanya uchunguzi dhidi ya mhasibu wa zahanati ya Tambukareli iliyopo katika kata ya Azimio, kwa makosa yafuatayo: (1) Kuisababishia hasara serikali kinyume na kifungu namba 284 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tufahamishwe gharama za matunzo ya ndege za ATCL za kila mwezi na hasara tuliyopata tangu zipaki kwa ajili ya matatizo ya Corona duniani

    Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana. Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
  14. Alvin A.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
  15. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Hasara ya Mfumo Mbaya wa Elimu

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  16. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    Wakuu Mimi ni muajiriwa Nina miaka 8 kazini, Wakati naanza kazi wazazi wangu hawakuwa na makazi bora hivyo nimekaa muda nikaamua kuwajengea nyumba bora japo Mimi sijajenga ya kwangu bado,, najibana hivyo hivyo kama mnavyoijua mishahara ya waajiriwa wa ktz ni kidogo kwa kada nyingi, Ndugu zangu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boeing 16,000 watapoteza ajira baada ya kampuni hiyo kupata hasara

    Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa Boeing imepata hasara...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hasara ya COVID-19 kwa wakulima wa mazao ya bustani

    Habari wanajamvi, Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
  19. No Escape

    JamiiForums Tanzania Hasara na Faida za Corona

    Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia; 1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu 2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona...
  20. OLS

    JamiiForums Tanzania Bei za kuruka ni hasara kwa serikali na wanunuzi

    Mdau wa Jamiiforums ameandika, Waziri wa Kilimo Joseph Hasunga amesema viwanda vyote huwa vinasimamisha uzalishaji mwezi Mei ili kufanya ukarabati, mwaka vimesimamisha miezi miwili kwa sababu mashamba ya miwa yamejaa maji na ndio sababu ya sukari kupanda bei. Kutokana na tabia ya kutodai risiti...
Back
Top Bottom