hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya data Tanzania ni hasara

    Kwa wale waliofuatilia interview ya boss wa Voda Hashim Hendi, ali-hint kuhusu bei za data kwamba makampuni ya simu Tanzania yanauza data kwa Sh1 to 1.2 per megabyte, kama aliyoyasema ni kweli basi nchi nzima makampuni hayana net profit kwenye mauzo ya data na hata process ya kuuza minara...
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kitaifa: Tuziainishe faida na hasara za uraia-pacha (dual citizenship) kwa Tanzania yetu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mijadala kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha. Wapo wanaopendekeza Tanzania kama nchi ikubali uwepo wa uraia pacha ili kuzipata faida zitokanazo na uraia wa aina hiyo. Wapo wenye mtazamo kuwa muda wa Tanzania kuwa na uraia pacha bado haujafika. Hivyo basi...
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona ikitolewa kwa hiyari, tutakula hasara

    Ni kwa muda sasa kumekuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona ambayo inawezekana kwa sababu za kisiasa, wameamua kusema kuwa ni hiyari. Ili watu wasione ubaya wa kuchoma. Lakini naomba ni waambie ikiwa ni ya hiyari, tutakula hasara Hasara ya chanjo kuwa hiyari Chanjo tunanunua na kuongezewa...
  4. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

    Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya Mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata) Basi mti huo husagwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

    Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu. Uwanja huu wa kisasa umejengwa huku watanzania wakivutana na kurumbana wengine wakidai umejengwa kisiasa wengine...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Masasi, Mtwara: Watu 11 Wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Na Hamisi Nasri, MASASI WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni. Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
  7. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  9. Labile

    JamiiForums Tanzania Je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika?

    Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio. Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili uziuze kwa bei ya hasara au ikifirisika unakosa kila kitu. ========= Makampuni mengi yanayokuwa na...
  10. The Boss

    JamiiForums Tanzania Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

    Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa. Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

    Kwema wanaJF, Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitoa ruzuku ya shilingi bil. 153.7 kwa ATCL na shirika limepata hasara ya bil. 153 huku zaidi ya tril .1 ikitumika kununulia ndege

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020. Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania? Hivi viongozi wa nchi hii wanaohusika na ufanyaji wa maamuzi wako mentalily fit na zaidi wako comfortable na hali hii? Halafu bado...
  14. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Suala la ATCL kupata hasara ya Tzs bilioni 60 na kuendeshwa kihasara kwa miaka 5

    Mwishoni mwa mwezi Machi Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti mbili za CAG na TAKUKURU na moja ya mambo yaliyoibuka na kuchukua mjadala mpana na mkubwa sana ni hatua ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Kichere kusema kwenye ukaguzi wao wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

    Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL. Hasara na upotevu huu...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
  18. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu biashara ya Stationary, Mbinu, faida na hasara

    Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara. Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara. Asante ni.
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika

    Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
  20. Point less

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mwanafunzi kutumia simu shuleni (mdahalo)

    Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza KARIBU MTU KANYE TUJITETEE.
Back
Top Bottom