Habarini za wakati huu.
Leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali C.A.G, ametoa Taarifa yake na kukabidhi kwa Mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan. Katika taarifa hiyo imeonesha hasara ya Tsh. 60 Billion zilizo sababishwa na shirika letu la ndege la ATCL...