Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,458
99,095
Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya Mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata)

Basi mti huo husagwa na kuwa unga yaani vumbi. Matumizi yake ya asili ilikuwa ni kupaka kwenye uume wa mtu ambae anataka kutahiriwa ili kumpa ganzi asipate maumivu wakati anatahiriwa. Hii ni ganzi ya kienyeji iliyokuwa inatumiwa na Ngariba Wa Kienyeji nchini kongo ila kwa sasa matumizi yake makubwa yamehamishiwa kwenye sekta ya ngono.

Ukweli ni kwamba Vumbi La Congo haliongezi kabisa nguvu za kiume. Yaani kuuchochea uume uliolala usimame imara. Bali inafanya kichwa cha uume kupata ganzi (Nusu kaputi), kwaiyo wakati unafanya mapenzi ule utamu mkali unaofanya ufike kileleni (umwage wazungu) unazuiwa na ile ganzi iliyoko Kwenye kichwa cha uume.

Kwahiyo, unaweza kumgegeda mwanamke kwa muda mrefu zaidi bila kupata ule utamu utakaokupelekea kumwaga wazungu na kwa mwanaume usipomwaga mpini unaendelea kuwa imara kama simba.

MATUMIZI YAKE
Ni mwanaume anaweka matone 2 ya maji au mate au mafuta kidogo kwenye kiganja (mafuta mgando Ndio the best). Kisha anachanganya na vumbi kidogo then anapaka kwenye uume kwa kuchua au kusugua (hasa Kwenye kichwa).

Mkongo mara nyingi hupakwa masaa 3 mpaka 6 kabla ya tukio lenyewe. Yaani Unaweza kupaka asubuhi then ukaufunga uume kwa nylon ukiacha tundu la kukojolea wazi, utakaa umefunga mpaka jion au usiku. Ukifika muda wa kugegeda unafungua na kusafisha then unagegeda kiroho safi kabisa.

FAIDA
Vumbi la Congo faida Yake ni kumsaidia mwanaume kumfikisha mwanamke kileleni kwa kumsugua ipasavyo apate Raha au kumkomesha (KUWEKA HESHIMA). Ila kiuhalisa halina faida kwa mwanaume mhusika mwenyewe aliejipaka maana Uume unakua Kwenye GANZI MODE (Nusu kaputi) na hauhisi chochote. Yaani Ni Kama uko TU na lijipande la nyama unaingiza na Kutoa ndani ya uke.

ATHARI ZAKE
Kitaalam hamna tafiti yoyote ilyoonesha kua na Athari yoyote kwa mwanaume anaetumia zaidi TU ya kumpunguzia utamu wa tendo mhusika.

Athari inaonekana kwa mwanamke husika aliyegegedwa kwa mkongo. Ambapo wakati wa tendo anakua anasikia joto Kali linafukuta sana uko ukeni ila ukichomolewa Uume mwanamke atasikia ubaridi flani mkali wa kuchomachoma ukeni. Na ubaridi huu mara nyingi hukata nyege za mwanamke husika. husababisha mwanamke kupoteza hamu ya kurudia au kuendelea na tendo.

Ndo mana, kwa watumiaji wa Mkongo mwanmke akiomba apumzike TU kidogo au aende kidgo chooni ule Ubaridi wa ganzi ukimpiga tu kidogo inakua NDO IMETOKA IYO na HATOTAMANI TENA KUENDELEA NA TENDO. Na hali hii ya ubaridi wa ganzi ukeni inaweza kudumu kwenye uke wa mwanamke kwa sikU 2 Hadi 5 kutegemea na mwanaume husika alitumia mkongo kias gani.

Pia kwa baadhi ya wanawake, Mkongo huweza kuwaletea muwasho sana ukeni baada ya tendo maana Wakemia wengine wa MKONGO huuchanganya na unga wa pilipili kichaa, tangawizi au kitunguu saumu Au pia mwanaume mwnyewe husika kuamua kuuchua umme wake kwa mchanganyiko wa mkongo wenye matone kadhaa ya chill sauce ili kuongeza msisimko ukeni kwa mwanamke ili atake kugegedwa zaidi na zaidi.

ATTACHMENT: Nimeambatanisha na picha za mti wa mkongo au MPESU

Credit: Mine boy, Evelyn Salt, 1kush africa, et all

images-96.jpg
images-99.jpg
images-98.jpg
 
Haya ndo mambo ya mpesu ...dah kutafuta heshima ni kazi ngumu sana

Inasemekana demu akiliwa na mpaka mpesu ...akija show ya kawaida ..hapati msisimuko na tendo lenyewe
Ilo Ni kweli maana unamfanya awashwe chini ivyo atake Tena na Tena kukunwa uko
 
Kisa na mkasa.. Yaani mie ni mbeto mbeto mtu kisha nisikojoe.. Sasa raha iko wapi..

Nishasemaga dudu killa langu likiisha nguvu tu, mola anibebe, nina faida gani sasa mwanaume mzima naliweka lobo langu kama kizuka.. Nimelivika mishuka
Wengi wa wanaume wanaotumia hizi kitu mara nyingi wanafanya kwa ajili ya wanawake.

Kwa mwanaume anayehitaji kusex apate burudani na starehe hazimfai kabisa.

Ukiskia mwanaume anakwambia anatumia mkongo afu anasikia Raha ya tendo mwanzo mwisho,

Uyo Ni Muongo mkubwa.
 
Back
Top Bottom