hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  2. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu hasara za marafiki wabaya

    Siku ya Leo nitazungumzia juu ya madhara ya marafiki wabaya na kuwa nao katika maisha yako. Kwa kawaida katika maisha Kuna rafiki mzuri na rafiki mbaya ,sifa za rafiki mzuri ni kama kutunza Siri, uaminifu, uwazi, upendo na kutokuwa mnafiki. Yafuatayo ni madhara ya marafiki wabaya ktk maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya madaraka na Kuisababishia Bunge/Serikali hasara :Aione Ayubu wa Kongwa

    Wasalaam wana JF Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19 Naomba kushauri
  5. JamiiForums Tanzania Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  6. JamiiForums Tanzania Hasara 4 za Kuabudu kwenye TV badala ya kuhudhuria pamoja na wenzako

    Unakosoa agizo la Mungu. Msiache kukusanyika pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Unakosa Baraka maana kukaa peke yako wakati huna sababu ni laana. Rahisi kutekwa na Televangelists wengi ambao ni wajasiliainjili. Kuna watu wameteka mitego kunasa watu wasiojitambua mitandaoni kwa mgonjobwa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
  8. JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles. Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said...
  9. JamiiForums Tanzania Ni zipi faida na hasara za progressive web app(PWA)?

    Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana. PWA ni websites ambazo zinafanya kazi kama app za kawaida. Unaweza weka icon kwenye home screen ka ya app zingine...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  11. JamiiForums Tanzania CAG: Dreamliner za ATCL zatia hasara ya Tsh bilioni 23.6

    Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tena. --- Air Tanzania's two Dreamliner...
  12. JamiiForums Tanzania Mama Ndie Amesababisha Dreamliner Kuingiza Hasara ya Billionii 23.6

    Habari za mda huu wadau. Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL. Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H...
  13. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Mabadiliko ya kanuni Soko la Tanzanite mwaka 2019 yameipatia Serikali hasara kubwa sana

    Akichangia bajeti ya waziri mkuu, mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo ameongelea sekta ya madini ikiwemo mabadiliko yaliyopelekea kuhamisha soko la madini kutoka Arusha kwenda Mirerani na hasara yake kwa Serikali na mji wa Arusha. Mrisho Gambo: Mwaka 2019 tulianzisha masoko ya madini, Arusha...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

    Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa. _____________ Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vibaka wamenitia hasara

    Wakuu usiku wa kuamkia Leo vibaka wamevunja kioo cha gari wakaiba taa moja ya nyuma, power-window na side mirror zote mbili, aina ya Gari ni Kluger V, kwa spare used naweza kupata kwa bei gani @?
  16. JamiiForums Tanzania Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

    Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa. Tundu Lissu aliwaonya watu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

    CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo, kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ziara yako Manyara imeleta hasara na Usumbufu mkubwa kwa wananchi

    Najua umemaliza ziara Yako Mkoani Manyara,na Sasa upo Chato Kwa kaka yako. Nachukua fursa hii kukipa taarifa jinsi ziara yako ilivyowatesa wananchi. Nazungumzia namna Barabara zilivyofunga kipisha ujio wako na mapito yako. Mkuu,nikufahamishe TU kuwa ,Leo Kila ulipokuwa unaeenda Barabara...
  19. JamiiForums Tanzania Wale tunajiuliza nyakati za vikao nitoe maoni au nikae kimya na kujiuliza faida na hasara ya kila option tujuane

    Asalaam wana JF! Binafsi huwa napata wakati mgumu kwenye vikao maeneo mbali mbali hasa kwa tahadhari ya kupunguza negative people. Huwa natafakari faida na hasara za kuchangia ama kutochangia maoni kuhusu jambo husika. Natulia kimya nafuatilia kwa umakini nachukua notes ila natumia code za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zipi FAIDA na HASARA za kukaa mbali na unakofanyia kazi?

    Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake. Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika. Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…