Kati ya Mabinti wazuri waliopata umaarufu na wakapata hasara uwezi kumkosa Tunda na Wema

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii.

Leo katika viwanja vya mastaa katika operation pitisha macho, nawaona mastaa wawili wanaooenda kupoteza kutokana na umaarufu wao kuisha/kupungua vyanzo vikiwa kukosa ubunifu wa kuteka mashabiki wao, kingine umri kuacha mwili, kupungua kipato.

Muuza nyago Tunda ambaye hivi karibu kajaliwa mtoto, ni star ambaye kwenye ustaa wake alitajirisha tumbo tu, kwa kuwa ameishi sana kwenye hotel mpaka alipotulizwa kitenesi na mkwale mmoja Whoz, namwona kama star aliyepoteza kwani hakuwahi kuonyesha anavyovimiliki kutokana na kipato chake cha kudanga.

Mwingine ni Wema, Naye anazidi kupoteza kwani hata anazidiwa na wazee wakina Kajala bado wanatesa kwenye anga. Bora Uwoya ambaye analea mwanae huyu angalau anaonyesha ameivest kwa mtoto lakini Tunda na Wema ndio basi tena wajaribu njia mpya kwani kwenye tasinia hii tuna ingizo jipya Zuchu na Paula
 
Kudanga sio sifa nzuri na Zinaa ni machukizo kwa Mungu. Hakuna baraka za kudumu wala zenye amani na furaha toka kwa kazi za zinaa.

Ukiona mtu hafanikiwi kupitia uovu ni wazi Mungu anamhitaji sana upande wake na anataka abadilike amrudie yeye ili afanikiwe kwake, na ukiona mtu anafanikiwa sana kupitia uovu ujue Mungu alishamkataa na sasa amebobea kwenye kumsaidia Shetani kufanikisha maafa kwa wengine

Nahumu 3: 4-6
Kwa sababu ya wingi wa ukahaba wa yule kahaba mzuri, yule bibi wa mambo ya uchawi, auzaye mataifa kwa ukahaba wake, na jamaa za watu kwa uchawi wake.

Tazama, mimi ni juu yako, asema Bwana wa majeshi; nami nitafunua marinda yako mbele ya uso wako; nami nitawaonyesha mataifa uchi wako, na falme aibu yako.

Nami nitatupa uchafu uchukizao juu yako, kukufanya uwe mchafu, nami nitakufanya kuwa kitu cha kutazamwa kwa dharau.
 
Kudanga sio sifa nzuri na Zinaa ni machukizo kwa Mungu. Hakuna baraka za kudumu wala zenye amani na furaha toka kwa kazi za zinaa.

kukufanya uwe mchafu, nami nitakufanya kuwa kitu cha kutazamwa kwa dharau.
Hallelujah
 
wachache sana wanaodanga kwa mahesabu na malengo,wengi wao hujisahau na kudhani watabaki na uzuri,umaarufu na ushawishi milele.

Mbaya zaidi haramu haina baraka na wala haramu haijawahi halali

Unaweza kufurahia kufanikiwa leo lakini kama aishivyo Mungu kabla ya mwisho wa yote unaweza kuwa na majuto na kujikuta unapoteza kila kitu na kulazimika kuanza upya hata kama imepita miaka50. Tena ukikutana na hiyo neema kabla ya umauti umshukuru Mungu
 
Siku hizi umalaya ni chanzo cha kuvuta wawekezaji. Nilishangaa sana namna Hamisa alivyopewa promo hivi majuzi. Ile ni aibu sana basi tu media zetu zina vilaza wengi na serikali imetulia maadili yakiporomoshwa wazi wazi.

Kuna page za insta na radio stations ni kama TCRA hawazijui kabisa.
 
Siku hizi umalaya ni chanzo cha kuvuta wawekezaji. Nilishangaa sana namna Hamisa alivyopewa promo hivi majuzi. Ile ni aibu sana basi tu media zetu zina vilaza wengi na serikali imetulia maadili yakiporomoshwa wazi wazi.

Kuna page za insta na radio stations ni kama TCRA hawazijui kabisa.
Kwanza ndio unawajenga kuwa mastaa, gigimoney asingekwewa na mh. Albert Msando Arusha lakini kugawa papuch kumfanya ajulikane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom