haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki...
  2. J

    Ufanyaji wa mazoezi unausaidia mwili kutonyong'onyezwa na homa kali COVID-19 kwa urahisi

    Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu. Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana vyema na maradhi nyemelezi. Mtu anayefanya mazoezi akipata virusi vya COVID-19 mwili wake unachelewa...
  3. Wastaafu wa PSSSF mnaotarajia kustaafu mjipange msitegemee kulipwa haraka mafao na pensheni

    Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
  4. Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu. Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya watu waliofanya vitu tofauti tofauti iwe ni Biashara au aina yeyote ya kitu kinachoweza kutengeneza...
  5. D

    Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  6. C

    Msaada: Nataka Bus la Dar - Mwanza linalofika mapema zaidi

    Habari ya wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
  7. SoC01 Upataji fursa, ajira kwa haraka kwa matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii

    Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako. Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala itasaidia vijana ambao bado wako vyuo na waliomaliza pia wakulima, wafanya biashara nk. Kwa...
  8. J

    Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

    Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika. Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo. Chanzo: Channel ten
  9. S

    Utekaji uliofeli: Nadhani Mbowe angepelekwa kusikojulikana

    Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi . Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema...
  10. Kazi unazoweza kupata haraka ukifika Marekani

    Ukifika marekani sikiliza kazi unazoweza pata haraka
  11. Waziri wa Michezo afukuzwe haraka

    Nchi ni kama haina waziri wa michezo. Olympics tunapeleka watu watatu. TFF uchaguzi wa kihuni. Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote. Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo. Regulatory Approval? Au hakuna hata Regulatory Institutions za kufatilia hizi clubs? Waziri yupo Tu mambo...
  12. Kwa kauli ya IGP Sirro justice must be seen and felt. Mbowe atiwe hatiani haraka

    Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao. Kauli ya IGP Sirro kuwa Mbowe sio malaika ni kauli nzito. Maana huyu ni mkuu wa Polisi wanaohusika na...
  13. Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
  14. Msaada wenu unahitajika haraka sana

    Wanajamii habarini Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege Naombeni ushauri Wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini...
  15. Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

    Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu. Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
  16. Phone4Sale Iphone X ina wiki 2 tu inauzwa bei ya haraka nina shida na pesa

    Nina shida ya pesa Iphone X Ina wiki 2 tu. Gb 64. B.Health 100%. Face id. Truetone. Nina shida na pesa. Box lipo. Charger na earphones zipo. Kiufupi mzigo ni mpya. Bei maelewano. Number. 0683011003
  17. M

    Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  18. SoC01 Ushauri: Zingatia mambo haya utafanikiwa haraka

    Nadhani makala hii haitawahusu vijana wavivu ambao wao wanawaza kuamka nakukaa vijiweni wakipeana mbinu za kupora nakuiba mali za watu. Hii itawahusu vijana na watu wazima ambao bado wangali kwenye mapambano yakujikwamua nakufikia bango lenye nembo ya mafanikio. Zipo siri nyingi sana zenye...
  19. NETWORKING: Msaada Wireless router inamaliza bundle haraka

    Kwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu...
  20. Wazoefu wa Aliexpress mpitie hapa mtoe msaada wa haraka tafadhali

    Wakuu Habari ya nyie, nahitaji kuagiza simu aliexpress ila sio mzoefu sana, make nilipoagiza mara ya kwanza kwa ajili ya kupata uzoefu ndo nilibaki njia panda, niliagiza kitu cha dollar 1.5 tar 01/06 mpaka leo tar 20/07 inasoma departed country of origin shipping method cannaiao economy global...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…