haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Trump: Putin anataka tukutane tumalize vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo!

    Rais Putin anasema anataka kukutana nami haraka iwezekanavyo," Trump alisema katika kongamano huko Arizona. "Kwa hivyo itabidi tusubiri, lakini lazima tukomeshe vita hivi. Vita hivi vinatisha, vinatisha." Trump, ambaye atarejea Ikulu ya White House mwezi Januari, awali alisema wakati wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  3. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

    Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini. Vipi nyie wenzangu?
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kata iliyokosa Shule, Serikali yaanza ujenzi haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi wa Vifaa vya Ujenzi na Kwa wale wasio waaminifu kuacha mara Moja tabia ya Wizi kwa kuwa kufanya Kwao...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Asad asema hakuwa na mpango kukimbia na kuwatelekeza watu wake ila Jeshi la urusi ndilo lilimuondoa nchini Syria kwa ajili ya usalama wake

    Wadau hamjamboni nyote Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
  6. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nani anajua nauli ya kutoka Kigamboni mpaka Kisiju

    Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie Ni issue muhimu sana Nimefanikiwa
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  8. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kuishi bila kugusa mshahara wake,Makonda anastahili kutumbuliwa haraka

    Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini. Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

    Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo? Je hali hii husababishwa Na nini?
  11. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

    Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike. Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Georgia kama Ukraine, Raia wachachamaa wakiandamana kushinikiza kujiunga na umoja wa ulaya(EU) haraka

    Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za Georgia zimekuwa zikionyesha 80% ya raia wa Georgia wanataka kujiunga na umoja wa Ulaya na kuwa...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein na Shomari Kapombe hawajui kurusha Mpira kwa haraka?

    Hawa mabeki wawili wa Simba. Yaani ni Wazito sana kurusha Mpira ndani ya uwanja. Huwa nawaona kama vile hubabaika bila ya kujua wamrushie nani Mpira.
  14. Donkey

    JamiiForums Tanzania ATC Anzisheni haraka route ya Dar to JFK New York USA

    Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
  15. Last_Joker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?" Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
  17. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa zamani wa Marekani atoa wito wa kuondolewa mapema kwa Biden

    Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya tatu vya dunia baada ya kuiruhusu Ukraine kutumia makombora ya ATACMS kushambulia ndani kabisa ya...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za vijana kufa haraka (pre mature death)

    Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya. Magonjwa ya ghafla Ajali Vifo vya usingizini n.k Sababu hasa ya vifo hivi ni nini? 1. Zinaa na ulevi. Mithali 6 : 32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. For read more download...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

    Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama...
Back
Top Bottom