haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Mtu wa IT anahitajika haraka

    Habari zenu wadau. Kuna nafasi mbili za watu wa IT wanahitajika haraka. Sifa: Wenye Bachelor au Diploma ya IT na uzoefu angalau mwaka mmoja. Nicheki WhatsApp namba: 0683535699
  2. stevenkatalas

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess. Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naweza pada dalali dodoma wa kuniuzia mashine mbili za kunyolea saluni kwa haraka maana nimekwama haswa

  5. Big Nyota

    JamiiForums Tanzania Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

    Wakuu wasalaamu!! Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani. Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Wachina wanajivunia kuwepo duniani miaka 5000 na wanatarajia miaka 5000 tena. Sisi tuna haraka gani?

    Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!! Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
  7. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ikangalombo afukuzwe Yanga haraka

    Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!! Daima mbele , nyuma mwiko
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

    01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
  12. jooohs

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu chanjo ya manjano(yellow fever )

    Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano. Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Msaaada wa haraka waungwana.

    Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha. Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri. Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma. 1.Fokolitf operator 2.ufundi wa...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  15. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa Ndoa: Kuachana Haraka au Kutatua Migogoro?

    Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷‍♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Bashe yuko hoi watanzania waombwa tumuombee apone haraka

    WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani. Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbinu za kuzuia uchaguzi ili NO REFORMS NO ELECTION ianze kueleweka haraka kwa watawala

    Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION. Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
  18. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Laptop Inahitajika Haraka

    Nahitaji laptop, kwa matumizi ya kijana wangu kwa ajili ya masomo. Nipe sifa za pc yako na bei. Asante!
  19. Denis Gregory

    JamiiForums Tanzania Tangazo Nafasi yakazi ya haraka kweli

    Natafuta kumwajili mtu mwenye cheti cha ADDO.. Medication back ground.. Anisaidie kuuza dawa.. Zinga Bagamoyo.. Unasifa izo na unahitaji wasiliana nami 0679102559 au 0755102559
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
Back
Top Bottom