Wakuu wasalaamu!!
Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani.
Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa...
Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!!
Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!!
Daima mbele , nyuma mwiko
Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya.
Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
barua
barua ya wazi
dodoma
haraka
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
kulinda
mali
mkuu
ombi
raia
rais
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
usalama
usalama wa raia
wazi
zao
Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM.
Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!.
Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi
Hivo Fukuza mara Moja.
Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano.
Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka...
Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha.
Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri.
Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma.
1.Fokolitf operator
2.ufundi wa...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa...
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
Natafuta kumwajili mtu mwenye cheti cha ADDO..
Medication back ground..
Anisaidie kuuza dawa..
Zinga Bagamoyo..
Unasifa izo na unahitaji wasiliana nami
0679102559 au 0755102559
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri.
Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira.
Kutokana na ongezeko hili la viwanda, kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada...
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.
Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na Elia Wilinasi Sikanyika
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan,
Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.