hana

  1. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  2. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Si busara kumruhusu mtoto aanze kujitegemea wakati hana chochote

    Kuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka. Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wahaya, tuache upotoshaji, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hana asili ya Kanyigo, Bwanjai wala Kanyangereko

    Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
  6. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Moja Ya Ishara Kuwa Mwanamke Wako Hana Amani Kwako.

    Mwanamke anapenda ajisikie amani kwako ili aweze kujiachia. Kama mwanamke wako siku hizi unaona; Hana hamu ya kufanya mapenzi, Uke mkavu, japo zamani alikua ukimgusa tu maji yamejaa, Au zamani alikua anaanzisha kufanya mapenzi lakini sasa mpaka uombe sana. Ujue kuna shida. Lakini kabla...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

    Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail. Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa. Na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kutana na Phil Jones, mchezaji asiyecheza Man Utd lakini hauzwi na hana mpango

    Philip Jones alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson mwaka 2011. Kipindi hiko akiwa kinda akichezea Blackburn Rovers. Alitajwa kama mchezaji bora katika nafasi ya ulinzi wa kati kwa siku za usoni. Phil Jones akaanza kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Nafasi yake ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
  12. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

    Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

    Ndugu zangu watanzania, Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  15. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

    Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine. Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

    Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara. Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Lissu na Chadema yenu hamna uhalali wa kulalamikia mfumuko wa bei na ufisadi wa CCM. Mlikuwa mnataka serikali kama hii ya kipagaji.

    Sikiliza
  19. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Hotuba ya Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho

    Wasalaam. Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza. Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho. Katika hotuba...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Moshi Manispaa: Mwalimu wa kawaida ambae hana cheo hajapata kishikwambi. Manung’uniko yayawala

    Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha: 1. Mkuu wa shule 2. Second masta 3. Mwalimu wa taaluma (Academic master) 4...
Back
Top Bottom