Kama yeye hana uchungu nasi kwa kuwa yeye sio sisi , yeye ni kule sio huku ,
Hana ndugu huku na amevuka maji kuja huku .
Je na nyie hamna uchungu na sisi?
Mwenzenu wa Buhigwe nafsi ilimsuta muda mrefu akaamua kujiondoa kwa staili Ile maana ana familia inamtegemea hivyo asingeweza ondoka kwa...