hamna

Lützow-Holm Bay is a large bay, about 220 kilometres (120 nmi) wide, indenting the coast of Queen Maud Land in Antarctica between Riiser-Larsen Peninsula and the coastal angle immediately east of the Flatvaer Islands. It was discovered by Captain Hjalmar Riiser-Larsen in two airplane flights from his expedition vessel, the Norvegia, on February 21 and 23, 1931. The name honours Commander Finn Lützow-Holm of the Royal Norwegian Navy Air Service, a pilot for Captain Riiser-Larsen on the Aagaard in 1935.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

    Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
  2. Mcmillan de Maghayo

    JamiiForums Tanzania Hivi huko India hamna bwana afya.

    Mzuka wana jamvi! Kuna sababu gani sasa ya kutubagua waafrika weusi. Sisi weusi ndo inabidi tuwabague. Najiuliza huko India hamna bwana afya? Video chini.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Summary ya leo: Nimewaua na hamna cha kunifanya!

    Huo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
  4. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Sasa hivi duniani hamna timu Bora kama Arsenal

    Hamtaki kusema ukweli hii ndio timu Bora duniani imagine imecheza games 3 kubwa wiki Moja na imepata point 7 muhimu gunner to the world
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

    Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, watumia Zoom? Chukua tahadhari namna ya kujilinda na mambo kama ya kurekodi na kupeana picha na pia hatua za kiusalama security settings control .

    Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe. Ujumbe wa maandamano hayo...
  9. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

    Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa utekelezaji wa Ilani ya chama unaongea maelfu ya maneno kwa Wananchi kuliko usambazaji wa chuki, wivu, upotoshaji na uongo kwa jamii.

    Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa anafamilia eti anaamini watu watakipigia chama kingine kwasabu ya upotoshaji wake hii HAIPO huu ni ujinga wa...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Huu sio uchawi jamani, ni hali ya kawaida kabisa radi kupiga kukiwa kukavu kabisa, hamna mvua wala mawingu.

    Radi inaweza kupiga hata kama hakuna mvua inayoonekana mahali ulipo, na hali hii huitwa "dry lightning" (radi kavu). Hii hutokea kwa sababu: 1. Radi hutokea mbali na mvua: Radi inaweza kusafiri hadi kilomita 10–15 kutoka kwenye mawingu yanayotoa mvua. Unaweza kuwa kwenye eneo kavu, lakini...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ofa hamna anaetoa, mje kuchukua bure hii machine

  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Halafu tukisema Wakenya akina Tresor Mandala hamna Akili mnatuona Watanzania kama vile tuna Chuki nanyi

    liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe. Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya nidhamu ya shirikisho la soka barani Afrika CAF, Sonko anadai kuwa waamuzi wa mechi walichezesha...
  14. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Code:Sukari hamna wameagiza nje (Zambia) kwa kodi zetu?

    Gari nyingi saa zimeputa last week, Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao.... Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo zilipaswa kufanya kazi nyingine za maana ... Now Suvari ilipaswa kuwa 4000 kwa kilo. Mpaka tunapita...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu alisema Gaza hamna njaa leo analalimika Mateka wa Israel wanayimwa chakula

    Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wengine humu ambao hamna hela au ni mimi tu nimechaguliwa kuwa kama mfano?

    Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson. Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama una wivu na maamuzi ya wajumbe kadai laki zako 5

    Aku Kama una wivu na maamuzi ya wajumbe kadai laki zako 5 Binafsi wajumbee niwapongezee Hamna ubayaaaaa Yaaana ubayaaa........... Kazi iendeleeeee viva chama la wananchi
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

    Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
Back
Top Bottom