hamna

Lützow-Holm Bay is a large bay, about 220 kilometres (120 nmi) wide, indenting the coast of Queen Maud Land in Antarctica between Riiser-Larsen Peninsula and the coastal angle immediately east of the Flatvaer Islands. It was discovered by Captain Hjalmar Riiser-Larsen in two airplane flights from his expedition vessel, the Norvegia, on February 21 and 23, 1931. The name honours Commander Finn Lützow-Holm of the Royal Norwegian Navy Air Service, a pilot for Captain Riiser-Larsen on the Aagaard in 1935.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona mnaficha kuwa mmemsajili Ikangalombo kwakuwa Zengeli mmeshindwana nae na mlimkopa na hamna Hela mliyoombwa na Meneama FC Kumnunua?

    Halafu ni nani aliyewaambia kuwa Siku hizi duniani kuna Siri? Halafu kumbe hata Kocha nae Saidi Ramazani (Side Rama) aligombana nae?
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa hisa wayumba hamna kuingia kwenye Ac zetu! Nini shida?

    Wadau wa hisa leo mmeliona hili tatizo? DSE mnakwama wapi? Nawasilisha ila mpaka sasa bilabila na hamna taarifa rasmi.
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimegundua Simba hamna kocha pale

    Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa, Kinachonishangaza ni hizo sub zake zisizoeleweka, nimeshangaa Leo anamtoa Mpanzu aliekua na shoot on target 5 anamuingiza Mutale mchezaji ambae...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamna Mwana CCM aliyempongeza LISSU au kumsema vibaya Freeman Mbowe?

    Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MH LISSU, Dawa ya Ng'ombe mkorofi ni kumshika mapembe yake, kwakua FAM amedai hamna Rushwa /Mkate /Abdul,, Itisha Waandishi wa Habari Ujibu mapigo

    MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu . Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie. Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Wadau, Kuna jamaa yangu anaomba ushaur. Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana. Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Uganda wana import Gold from Tanzania kwani hapa hamna refinery?

    Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda? Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu wa Serikali Mauzauza yanafanyika hadharani hamna uwoga tena

    Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea mambo ya uchaguzi na kusema akidai kwamba chama kinawalinda watu wake na hakiwezi kukubali mtu wa nje...
  12. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  13. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania HAMNA MTU MUOGA KAMA MTANZANIA MIMI MWENYEWE nI MUOGA

    Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani unapambana na askari unachezea kichapo halafu unakufa Ili wachaga wale mema ya nchi aisee Hilo swala...
  15. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

    Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

    Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni Kuzuga hapa Wote mlimpenda kwa Tamaa zenu za Hela zake na baada ya 'Kuwatifua' na kuona hamna Jipya akawaacha na leo mnajifanya kuwa Marafiki

    Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava, Harmonize baada ya kukutana katika pati la siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Leah Richard ‘Lamata’. Wawili...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba leo atake anapigwa, asitake anapigwa. Hamna namna

    Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake. Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja...
  19. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

    Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia current girl friend jamaan Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo hamna msanii hata mmoja aliyetoa, nyimbo ya maombolezo ya Ally Kibao?

    Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha, Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje? Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha chadema yuko kimya! Hawa wasanii mnawaelewa kweli au inakuajekuaje? Nauliza je wamepost hata kutoa...
Back
Top Bottom