halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu wa Halmashauri wakoje?

    Huwa nawashangaa sana watumishi wa serikali. Hivi kwanini wanapenda kuandika vitu na kiviweka public bila kufanya uhakiki wa kilichoandikwa? Huwa ni wavivu wa kusoma au ni nini? Nimekuta kibao hata Manispaa kwangu eti kameandika SEKONDALI Badala ya SEKONDARI hadi nimeona aibu! Nyie watumishi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari Uraki Halmashauri ya Meru mkoani Arusha yenye wanafunzi chini ya 400 ina walimu kama 50

    Shule tajwa hapo juu ina wanafunzi chini ya 400 lakini ina walimu wanaofikia 50 kiasi wengine wanakosa vipindi vya kufundisha. Mkurugenzi yupo anafahamu yote haya walimu wako busy na biashara zao maeneo ya Arusha mjini, ktk miji midogo ya Usa-River na Tengeru. Wakati hali ikiwa hivi ktkt shule...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakusanya Ushuru wa Maegesho Kariakoo na Posta wakamatwa na Halmashauri

    Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha. Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
  4. JamiiForums Tanzania Service Levy ya halmashauri ya jiji Temeke sasa ni kodi ya ujenzi wa madarasa na barabara

    Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga! Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeketi Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha...
  6. JamiiForums Tanzania Madarasa ya Rais Samia, Jimbo la Namtumbo

    MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102. Wanafunzi Wameripoti...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara Jimboni, agawa vifaa vya masomo na kukagua miradi

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
  8. JamiiForums Tanzania RC Mbeya kuwawajibisha Viongozi wa Halmashauri zitakazopata Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani humo kuzingatia usafi wa mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika msimu huu wa mvua na eneo ambalo ugonjwa huo utalipuka, viongozi watawajibishwa. Homera ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 31,2023...
  9. JamiiForums Tanzania Necta, Kidato Cha pili na nne tafadhali toeni halmashauri bora nchini 2022

    Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa. Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu shilingi milioni...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti kuhusu migogoro ya viongozi wa halmashauri na mgongano wa madaraka unaosababisha kushuka kwa shughuli za maendeleo

    1.Summary Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake. Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Halmashauri ya Jiji mnataka kutuletea kipindupindu wakazi tunaoishi karibu na Soko la Mbogamboga la Ilala? Njooni mzoe taka zenu

    Habari zenu! Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
  14. JamiiForums Tanzania UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  15. T

    JamiiForums Tanzania AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  16. JamiiForums Tanzania Ufisadi, Rushwa na Upigaji unaotokea katika Halmashauri zetu hauwakeri wengine?

    Habari za mchana kwa kila mmoja! Tumekuwa tukisikia PM Kassim Majaliwa akiwahoji watu mbali mbali juu ya upigaji katika maeneo tofauti aliofanya ziara. Mifano: 1. Alipofanya ziara katika halmashauri ya jiji la DSM alihoji juu ya upigaji wa mabilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema...
  17. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi milioni 500 za Rais Samia zinavyotafunwa Halmashauri ya Ikungi-Singida

    Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU. 👇👇 Nawasalimu sana wandugu. Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Halmashauri ya Shinyanga kijijini angalieni kwa makini mnada unaofanyika soko la Tinde

    Wadau kwema ! Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya wilaya Kinondoni V/S Diwani Urio

    Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20, MSAADA september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata taratibu zote na kusaini mkataba , nyaraka za risiti nimeziona na malipo ya yalifanyika kwa control...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…