Fire Irudishwe Halmashauri: Mambo ya Ndani inachelewesha

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,770
21,825
x.jpeg

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania ni chombo cha serikali kinachohusika na masuala ya kuzima moto, uokoaji, na huduma za kwanza katika maeneo ya dharura.
Kamishna MASUNGA ameleta mabadiliko makubwa sana, ila bado kuna mengine anapaswa kusaidiwa ama na serikali ama
 1. Kuanzishwa: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Tanzania lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1963 chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
 2. Lengo kuu la kuanzishwa kwake ilikuwa ni kutoa huduma za kuzima moto na uokoaji katika maeneo ya dharura.
 3. Kuimarika Kwa Miaka: Kupitia miaka, jeshi hili limeimarika na kupanuka kutoa huduma bora zaidi katika kuzuia majanga ya moto na kutoa msaada wakati wa dharura. Pia, limefanya kazi kwa karibu na mashirika mengine ya kutoa huduma za dharura nchini Tanzania.
 4. Mafunzo na Vifaa: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limekuwa likipokea mafunzo na vifaa vya kisasa kwa lengo la kuboresha uwezo wake wa kushughulikia majanga ya moto na dharura zingine.
 5. Kukabiliana na Majanga: Jeshi hili limekuwa likishiriki katika kukabiliana na majanga mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuzima moto wa viwanda, misitu, na majumbani, pamoja na kutoa msaada katika dharura kama vile ajali za barabarani na majanga ya asili.
 6. Kuhamasisha Elimu: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limekuwa likihamasisha elimu kwa umma kuhusu hatari za moto na jinsi ya kujikinga. Wanatoa ushauri kuhusu uokoaji na kuwahimiza watu kuwa na vifaa vya kuzima moto nyumbani.
 7. Usimamizi wa Majanga ya Asili: Jeshi hili limehusika katika shughuli za kusimamia majanga ya asili kama vile mafuriko na moto wa misituni ambayo yanaweza kutokea nchini Tanzania.
 8. Usalama Barabarani: Pamoja na majukumu yake mengine, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linashiriki katika shughuli za usalama barabarani kwa kutoa huduma za kwanza na uokoaji kwa waathirika wa ajali za barabarani.
UDHAIFU :
-Kufuatia tukio la moto siku ya 1-10-2023 maeneo ya Kariakoo na msimbazi kwenye kituo cha mafuta cha Big Bon almaarufu kama "sheli ya Big Bon , na kuunguza maduka yasiyo na idadi imegundulika kwamba:-Kinyume cha sheria za nchi na mazingira[NEMC] kibali kilitolewa maduka ya rejareja kujengwa kuzunguka kituo hicho cham mafuta.
-Kama haitoshi, imegundulika kwamba Jiji Limeanzisha kituo rasmi cha Bajaji Kuzunguka "sheli ya Big Bon" kinyume cha seria za Usalama wa Mazingira.
-Imegundulika kuwa vichochoro karibu vyote kati ya jengo na jengo , mitaa ya Big bon vimezibwa na kwekwa maduka[wazaramo wanaita "flem"] isivyo halali na hivyo Kariakoo kujifunga .
 • Imegundulika fremu nyingi hazina "fire extinguisher" na hata moto wa jana ulipolipuka hakukuwa na vizimia moto ndio maana wanalaumu zima moto ilhali wao wenyewe hawana, na sababu za kutokuwa nazo ni zile zile za wao kutoa hela kidogo"rushwa" wasinunue fire na hivyo ni tabia ya miaka na mikaka.
 • Imegundulika kuwa maduka mengi ya vichochoroni kariakoo ndiyo yanayouza "smuggling" na counterfeited items, bidhaa feki na zisizolipiwa ushuru zipo mitaa ya vichochoroni. TRA na ujanja wao hawajui ama wamefanywa wasijue hili jambo.
 • Vigogo wengi wastaafu, wa idara fulani fulani za Manispaa huwa ndio wanajipa vibali visivyo halali vya kujenga vichochoroni na hawalipi kodi.
 • Maduka mengi ya vichochoroni hasa ya vipuli yanauza vilivyoibwa kwenye magari na wale wanao uza lubricans/oil ni zile oil zinazochemshwa pale Tabata dampo na kujazwa kwenyee makopo mapya ya makampuni ya mafuta.
NOTE: Serikali irudishe zimamoto chini ya Manispaa nchini, hii itashajihisha mameya kwenda nje ya nchi na kupata miasaada mbalimbali .
Serikali iwaachie wananchi watakacho si mtu anakaa masaki amuamulie mtu anayekaa Tandale.
-JE, hawa wakipigiwa simu 999 huwa wanapokea kwa wakati? Kabla ya kufika na gari lao kubwa lisilo na maji, kwanini wasiwe na watu wanaotumia pikipiki zile kama za polisi zenye vingora waende kuhakikisha MOTO?
 
Pamoja na yote, hivi ni kwanini wanakujaga na maji kidogo au empty kabisa??

Shida pia bara bara kuwa na msongamo umbali wa tukio la moto na kituo cha zima moto nalo nichangamoto achilia mbali msongamo wa nyumba hata vichochoro hakuna!!!

Cha msingi ishi na majirani vizuri😄😄
 
Ili Zimamoto ifanye kazi inabidi bomoa bomoa ipitishwe bila huruma
WANASIASA wanaowaza 2025 hawawezi fanya hayo, bora mfe na mali kuungua siyo bomoa bomoa.
Umewahi jiuliza Wametubia bilioni ngapi kujenga MACHINGA COMPLEX alafu hapo hapo wanaruhusu machinga wapange bidhaa katikati ya barabara mtaa wa Congo na aggrey na kariakoo yote?
Unafikir hawajui kuwa masoko yapo wazi lakini wanaruhusu wmachinga wapange chini?
 
Nilisema jana maduka ya spea za wizi yameunguzwa watu wakareact
Cha haramu huondoka kiharamu
Hata hao manispaa hawatokuwa na msaada
Hili sikuona ila ALLAH amejibu.
Unapita Msimbazi vibaka wanangoa mirror ya prado ukiona na watu wapo na hakuna anayesema, mpya inauzwa laki tatu na used wanauza laki 3 , tena ukienda unaikuta ipo kwenye used, Mungu analipa taratibu.
 
Pamoja na yote, hivi ni kwanini wanakujaga na maji kidogo au empty kabisa??

Shida pia bara bara kuwa na msongamo umbali wa tukio la moto na kituo cha zima moto nalo nichangamoto achilia mbali msongamo wa nyumba hata vichochoro hakuna!!!

Cha msingi ishi na majirani vizuri😄😄
Sijui hata mimi!
 
Gari ya zimamoto inabeba maji mengi sana ule uzito wa maji gari haziwezi kuhimili kukaa na uzito ule kwa muda wote ikiwa imesimama inaweza kusababisha tire blowout

Maana gari zile zinakua zimepaki muda mrefu kusubiri dharura ya moto na hujui moto utatokea lini kwahiyo wanajiongeza kwa kupunguza uzito kwa kupunguza maji
 
View attachment 2769408

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania ni chombo cha serikali kinachohusika na masuala ya kuzima moto, uokoaji, na huduma za kwanza katika maeneo ya dharura.
 1. Kuanzishwa: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Tanzania lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1963 chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
 2. Lengo kuu la kuanzishwa kwake ilikuwa ni kutoa huduma za kuzima moto na uokoaji katika maeneo ya dharura.
 3. Kuimarika Kwa Miaka: Kupitia miaka, jeshi hili limeimarika na kupanuka kutoa huduma bora zaidi katika kuzuia majanga ya moto na kutoa msaada wakati wa dharura. Pia, limefanya kazi kwa karibu na mashirika mengine ya kutoa huduma za dharura nchini Tanzania.
 4. Mafunzo na Vifaa: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limekuwa likipokea mafunzo na vifaa vya kisasa kwa lengo la kuboresha uwezo wake wa kushughulikia majanga ya moto na dharura zingine.
 5. Kukabiliana na Majanga: Jeshi hili limekuwa likishiriki katika kukabiliana na majanga mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuzima moto wa viwanda, misitu, na majumbani, pamoja na kutoa msaada katika dharura kama vile ajali za barabarani na majanga ya asili.
 6. Kuhamasisha Elimu: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limekuwa likihamasisha elimu kwa umma kuhusu hatari za moto na jinsi ya kujikinga. Wanatoa ushauri kuhusu uokoaji na kuwahimiza watu kuwa na vifaa vya kuzima moto nyumbani.
 7. Usimamizi wa Majanga ya Asili: Jeshi hili limehusika katika shughuli za kusimamia majanga ya asili kama vile mafuriko na moto wa misituni ambayo yanaweza kutokea nchini Tanzania.
 8. Usalama Barabarani: Pamoja na majukumu yake mengine, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linashiriki katika shughuli za usalama barabarani kwa kutoa huduma za kwanza na uokoaji kwa waathirika wa ajali za barabarani.
UDHAIFU :
-Kufuatia tukio la moto siku ya 1-10-2023 maeneo ya Kariakoo na msimbazi kwenye kituo cha mafuta cha Big Bon almaarufu kama "sheli ya Big Bon , na kuunguza maduka yasiyo na idadi imegundulika kwamba:-Kinyume cha sheria za nchi na mazingira[NEMC] kibali kilitolewa maduka ya rejareja kujengwa kuzunguka kituo hicho cham mafuta.
-Kama haitoshi, imegundulika kwamba Jiji Limeanzisha kituo rasmi cha Bajaji Kuzunguka "sheli ya Big Bon" kinyume cha seria za Usalama wa Mazingira.
-Imegundulika kuwa vichochoro karibu vyote kati ya jengo na jengo , mitaa ya Big bon vimezibwa na kwekwa maduka[wazaramo wanaita "flem"] isivyo halali na hivyo Kariakoo kujifunga .
 • Imegundulika kuwa fremu nyingi hazina "fire extinguisher" na hata moto wa jana ulipolipuka hakukuwa na vizimia moto ndio maana wanalaumu zima moto ilhali wao wenyewe hawana, na sababu za kutokuwa nazo ni zile zile za wao kutoa hela kidogo"rushwa" wasinunue fire na hivyo ni tabia ya miaka na mikaka.
 • Imegundulika kuwa maduka mengi ya vichochoroni kariakoo ndiyo yanayouza "smuggling" na counterfeited items, bidhaa feki na zisizolipiwa ushuru zipo mitaa ya vichochoroni. TRA na ujanja wao hawajui ama wamefanywa wasijue hili jambo.
 • Vigogo wengi wastaafu, wa idara fulani fulani za Manispaa huwa ndio wanajipa vibali visivyo halali vya kujenga vichochoroni na hawalipi kodi.
 • Maduka mengi ya vichochoroni hasa ya vipuli yanauza vilivyoibwa kwenye magari na wale wanao uza lubricans/oil ni zile oil zinazochemshwa pale Tabata dampo na kujazwa kwenyee makopo mapya ya makampuni ya mafuta.
NOTE: Serikali irudishe zimamoto chini ya Manispaa nchini, hii itashajihisha mameya kwenda nje ya nchi na kupata miasaada mbalimbali .
Serikali iwaachie wananchi watakacho si mtu anakaa masaki amuamulie mtu anayekaa Tandale.
-JE, hawa wakipigiwa simu 999 huwa wanapokea kwa wakati? Kabla ya kufika na gari lao kubwa lisilo na maji, kwanini wasiwe na watu wanaotumia pikipiki zile kama za polisi zenye vingora waende kuhakikisha MOTO?
na pia hawa jamaa nguo zao zitofautishwe na za polisi, huwa wanatuchanganya sana.
 
Haifai kuita jeshi la zimamoto, jeshi ni jwtz tu hao wengine bora waitwe vikosi kazi tu, ya polisi waitwe polisi tu bila kutaja jeshi, magereza, uhamiaji na wengine hayo siyo majeshi hao ni sawa na takukuru na wale wa misitu na wanyamapori. Zimamoto irudi tu halmashauri kama waturudi na wafanyakazi wao au wataenda polisi sawa tu. Halafu wawe na helkopta za kuzima moto kwenye majengo marefu, gari za kisasa za aina mbalimbali, drone za kubeba madumu ya maji na mitungi ya kuzimia moto na wazima moto wanaopaa kwa miavuli
 
Inakuuma polisi kuitwa Jeshi!?
 
View attachment 2769408

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania ni chombo cha serikali kinachohusika na masuala ya kuzima moto, uokoaji, na huduma za kwanza katika maeneo ya dharura.
Kamishna MASUNGA ameleta mabadiliko makubwa sana, ila bado kuna mengine anapaswa kusaidiwa ama na serikali ama
 1. Kuanzishwa: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Tanzania lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1963 chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
 2. Lengo kuu la kuanzishwa kwake ilikuwa ni kutoa huduma za kuzima moto na uokoaji katika maeneo ya dharura.
 3. Kuimarika Kwa Miaka: Kupitia miaka, jeshi hili limeimarika na kupanuka kutoa huduma bora zaidi katika kuzuia majanga ya moto na kutoa msaada wakati wa dharura. Pia, limefanya kazi kwa karibu na mashirika mengine ya kutoa huduma za dharura nchini Tanzania.
 4. Mafunzo na Vifaa: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limekuwa likipokea mafunzo na vifaa vya kisasa kwa lengo la kuboresha uwezo wake wa kushughulikia majanga ya moto na dharura zingine.
 5. Kukabiliana na Majanga: Jeshi hili limekuwa likishiriki katika kukabiliana na majanga mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuzima moto wa viwanda, misitu, na majumbani, pamoja na kutoa msaada katika dharura kama vile ajali za barabarani na majanga ya asili.
 6. Kuhamasisha Elimu: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limekuwa likihamasisha elimu kwa umma kuhusu hatari za moto na jinsi ya kujikinga. Wanatoa ushauri kuhusu uokoaji na kuwahimiza watu kuwa na vifaa vya kuzima moto nyumbani.
 7. Usimamizi wa Majanga ya Asili: Jeshi hili limehusika katika shughuli za kusimamia majanga ya asili kama vile mafuriko na moto wa misituni ambayo yanaweza kutokea nchini Tanzania.
 8. Usalama Barabarani: Pamoja na majukumu yake mengine, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linashiriki katika shughuli za usalama barabarani kwa kutoa huduma za kwanza na uokoaji kwa waathirika wa ajali za barabarani.
UDHAIFU :
-Kufuatia tukio la moto siku ya 1-10-2023 maeneo ya Kariakoo na msimbazi kwenye kituo cha mafuta cha Big Bon almaarufu kama "sheli ya Big Bon , na kuunguza maduka yasiyo na idadi imegundulika kwamba:-Kinyume cha sheria za nchi na mazingira[NEMC] kibali kilitolewa maduka ya rejareja kujengwa kuzunguka kituo hicho cham mafuta.
-Kama haitoshi, imegundulika kwamba Jiji Limeanzisha kituo rasmi cha Bajaji Kuzunguka "sheli ya Big Bon" kinyume cha seria za Usalama wa Mazingira.
-Imegundulika kuwa vichochoro karibu vyote kati ya jengo na jengo , mitaa ya Big bon vimezibwa na kwekwa maduka[wazaramo wanaita "flem"] isivyo halali na hivyo Kariakoo kujifunga .
 • Imegundulika kuwa fremu nyingi hazina "fire extinguisher" na hata moto wa jana ulipolipuka hakukuwa na vizimia moto ndio maana wanalaumu zima moto ilhali wao wenyewe hawana, na sababu za kutokuwa nazo ni zile zile za wao kutoa hela kidogo"rushwa" wasinunue fire na hivyo ni tabia ya miaka na mikaka.
 • Imegundulika kuwa maduka mengi ya vichochoroni kariakoo ndiyo yanayouza "smuggling" na counterfeited items, bidhaa feki na zisizolipiwa ushuru zipo mitaa ya vichochoroni. TRA na ujanja wao hawajui ama wamefanywa wasijue hili jambo.
 • Vigogo wengi wastaafu, wa idara fulani fulani za Manispaa huwa ndio wanajipa vibali visivyo halali vya kujenga vichochoroni na hawalipi kodi.
 • Maduka mengi ya vichochoroni hasa ya vipuli yanauza vilivyoibwa kwenye magari na wale wanao uza lubricans/oil ni zile oil zinazochemshwa pale Tabata dampo na kujazwa kwenyee makopo mapya ya makampuni ya mafuta.
NOTE: Serikali irudishe zimamoto chini ya Manispaa nchini, hii itashajihisha mameya kwenda nje ya nchi na kupata miasaada mbalimbali .
Serikali iwaachie wananchi watakacho si mtu anakaa masaki amuamulie mtu anayekaa Tandale.
-JE, hawa wakipigiwa simu 999 huwa wanapokea kwa wakati? Kabla ya kufika na gari lao kubwa lisilo na maji, kwanini wasiwe na watu wanaotumia pikipiki zile kama za polisi zenye vingora waende kuhakikisha MOTO?
Kwahyo unatka Mkuu Irudi kule kwa Askari wa zimamoto kuwa Migambo miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000s na askari wetu watakosa heshima kwa wananchi...
Sema wajirekebishe tu
 
WANASIASA wanaowaza 2025 hawawezi fanya hayo, bora mfe na mali kuungua siyo bomoa bomoa.
Umewahi jiuliza Wametubia bilioni ngapi kujenga MACHINGA COMPLEX alafu hapo hapo wanaruhusu machinga wapange bidhaa katikati ya barabara mtaa wa Congo na aggrey na kariakoo yote?
Unafikir hawajui kuwa masoko yapo wazi lakini wanaruhusu wmachinga wapange chini?
Tatizo la Tanzania ni hao wanasiasa.
Mfano Pikipiki zimejaa Kariakoo kuzidi watu
 
wale ni watoa huduma tu, sawa na magereza, uhamiaji na zimamoto. Jeshi ni moja tu nalo ni JWT

wale ni watoa huduma tu, sawa na magereza, uhamiaji na zimamoto. Jeshi ni moja tu nalo ni JWTZ/TPDF
Kwani Jwtz hawatoi huduma!? Je,wajua kwamba jkt wanaitwa National service!? Kila taasisi iliyopo nchini ipo kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi ukiachilia mbali shughuli unique zenye sura na mkabala wa kijeshi,,mfano Jwtz Wana hospitali,shule,kumbi za starehe,mashamba na vyuo vinavyotoa mpaka elimu kwa raia mfano NDC,,Vilevile hata Magereza Wana huduma kama hizo na polisi pia wanazo kwa mantiki hiyo jukumu la kwanza la majeshi yetu ni kutoa huduma kwa raia na si vinginevyo: kama inakuuma kafute ibara ya 147 ya katiba inayoyataja majeshi ya polisi na Magereza kuwa ni majeshi kamili ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom