hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba. WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA Spika wa...
  2. Hali halisi ya maisha huku mtaani

    Habari ya jion wana JF, Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates. Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
  3. O

    Edo Kumwembe: Onyango mbuzi wa kafara, Bacca anachafua hali ya hewa

    NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca. Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
  4. Mnaofahamu: Hali ikoje dhidi ya ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera?

    Kwa mlioko mkoani Kagera au mlio na wapendwa wenu mkoani humo mna taarifa gani mpaka sasa kuhusu ugonjwa huu, maana kumekua kimya kiasi juu ya hili? Muda si mrefu nimeona waziri mwenyewe dhamana Ummy Mwalimu anasema mpaka sasa ni watu nane tu ndio waliopata ugonjwa huo na kati yao watano ndio...
  5. UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  6. Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  7. Hii hali unadhani husababishwa na nini?

    Naanza na salamu kwa wote mlioko kwenye mfungo, natumaini hamjambo. Iko hivi, Unakuta mnauhusiano na mtu au watu fulani either kimasomo, kikazi au kiutafutaji. Punde tu mmoja wenu katika hizo nyanja za kuwa pamoja akifanikiwa unakuta anakimbilia kubadilisha namba ya simu. Binafsi hii hali Huwa...
  8. R

    Ushauri: DCI Kingai zungumza na watendaji unaowasimamia, hali ya uhalifu imeongezeka sana nchini

    Sijui kama ni Mimi peke yangu ndiye simwelewi DCI Kingai au ni watu wengi? Matukio ya Uhalifu yameongezeka Sana siku za hivi karibuni. Polisi kutunishiana misuli na raia limekuwa Jambo la kawaida lakini kibaya zaidi NI kuongezeka Kwa matukio ya Askari kufanya mauaji Kwa raia kizembe wakati...
  9. N

    Nipo tayari kusimama na wewe katika hali zote

    Sikuachi hadi mwisho wa dahari, nitakuwa nawe kwenye hali zote, raha na huzuni kwenye kusifiwa na kwenye kusimangwa nitakuwa nawe, kwa kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu nitasimama na wewe kwenye hayo mapungufu yako yakibinadamu uliyonayo,najua wengi wanapenda ukosee ili wakusimange na...
  10. N

    Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia January Hadi March mwaka huu. Nimepata picha kuwa mwaka huu tutakumbwa na uhaba mkubwa Sana kama...
  11. Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

    Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
  12. Ile vuta n'kuvute pale kimboka, nimeangusha simu. Aliyeiokota kachafua hali ya hewa

    Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa ule mtaa, nikajiinamia huku mafua...
  13. DOKEZO Serikali iangalie hali ya usalama kwenye boti za mwendokasi Kivukoni na Kigamboni

    Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa. Hoja yangu ni kwenye zile...
  14. D

    Kwa hali ya kawaida: Anaethibitika kuua binadamu mwenzake pasinashaka hata yeye hastahili kabisa kuishi (wanini sasa)

    Kuna Sheria na Hekima Hivyo vyote mataifa mengi sana yanavitumia kuongoza jamii! Migororo mingi hutatuliwa kwa sheria na hekima! Bahati mbaya hekima huwa inaangalia zaidi maslahi ya wengi. Mtu anaethibitika kumuua binadam mwenzake kwa makusudi kwa mikono yake mwenyewe hafai kabisa kuishi na...
  15. Tulioomba kuhamishwa Wodi hali hii ilipotukuta tulipolazwa Mahospitalini tutambuane tafadhali

    Mwaka 1994 nililazwa katika Hospitali Moja hivi Jijini Dar es Salaam baada ya Kuteguka Mguu kutokana na Kucheza Ndiki / Mpira / Fabo Shuleni. Kwa wale Wakongwe Wenzangu mtakumbuka kuwa hiyo miaka ya nyuma Hospitali zetu zilikuwa zinawarundika Wagonjwa wa kila aina kama vile Figo, TB, Bandama...
  16. Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

    Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani. Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana. Mtazame mkewe sasa...
  17. DR Congo hali ilikuwa tete sana, tangu mimi nizaliwe sijawahi kuona matendo kama yale ambayo tulikuwa tunafanyiwa sisi

    Raia 2643 Kutoka kongo-DRC wameingia mkoni kwetu Kigoma kuomba hifadhi kutokana na machafuko ya vita yanayoendelea nchini kwao baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23...
  18. Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  19. GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  20. Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…