Msaada: Natumia hela katika hali zisizo rasmi

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,962
6,896
Habarini wakuu,
Kuna issue moja inaendelea kwenye maisha yangu na sihitaji kabisa kuichukulia kawaida ili isije kuniletea matokeo mabaya kwa ukubwa.

Ipo hivi, picha limenza kwa mzunguko wa biashara yangu kusimama katika hali ambayo sio ya kawaida, Napishana sana na wateja na pia sometimes wateja wengi wanaonicheki kwaajili ya uhitaji wa bidhaa fulani wanakuta kwa muda huo haipo (Sold out ❌) hali hii imekuwa ya mfululizo wa muda mrefu isivyo kawaida.

Kingine najikuta natumia hela katika hali zisizo rasmi kwa mfano kuna leo nimejikuta napakua application fulani ya kulipia na wakati huwa sinaga huo utaratibu wa kulipia apps, Na ubaya app yenyewe baada ya kuipakua haijafanya kazi.

Haijaishia hapo wakati nahamisha hela kutoka Airtel money acc yangu ili kujiongezea salio nimejikuta nimeingiza hela yote kwenye salio jambo ambalo limenihuzunisha sana kiasi cha kujipiga vibao maana hela ni nyingi kiasi ambacho hakifai kuwa katika salio pekee.

Sasa nashindwa kuelewa hii sababu yaweza kuwa nini maana sio kawaida, Nahisi kama kuna sababu isiyo ya kawaida ya kiroho kama jinsi nihisivyo ndani yangu.

Naombeni msaada wa kung'amua...
Mshana Jr
 
Hakuna mkono wa jirani hapo ila inawez kuwa ni mood disorder.

Ukipata hela hujioni kama una hatia sana kwa mtu anayekuomba umsaidie, kumkatalia?
 
Pole Sana

Mirror by lily Wayne
Life line on the mirror

Kama umeweza kuhisi means unaweza kutoka hapo
 
Hakuna mkono wa jirani hapo ila inawez kuwa ni mood disorder.

Ukipata hela hujioni kama una hatia sana kwa mtu anayekuomba umsaidie, kumkatalia?
inanisumbua sana hiyo, maana kihalisia hamna mtu anakosa msaada kwa mwingine ila ni ile tu kujiwazia wewe kwanza baada ya kumsaidia unabaki vipi, ila moyo wa kusaidia ninao nikiwa na uwezo
 
Kama tatizo ni apps za hizi simu za smartphone basi uza simu ubaki na simu ya Kawaida halafu tuone itakavyokuwa
 
Tuliza tu akili.. huenda labda ulikua na stress kidogo..Hope kila kitu kitakua sawa
 
Flames 30k ndio unaona ni hela nyingi kwenye salio? siulisema tutume kwenye TIGOPESA yako ututumie kama salio lakawaida.
 
Back
Top Bottom