Nini maana ya mabadiliko ya hali hewa?

Bertha Kakete

Member
Oct 7, 2023
7
15
Hapo zamani, sababu za asili, kama milipuko ya volkano na El Niño, zilisababisha kushuka kwa joto na mvua. Kilicho kipya, ni ushawishi wa wanadamu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tunaendesha magari yetu, tunapasha moto nyumba zetu wakati nje ni baridi, na tunatumia nishati kupika.

Shughuli hizi za kila siku husababisha gesi chafu, kama vile methane na kaboni. Gesi hizi huzuia joto linalotolewa na dunia kupita, na kusababisha ongezeko la joto duniani.

Nini kifanyike tuondokane na hili janga la Joto hususani kwa mkoa wa Dar es salaam, maana hali ni tete
 
Back
Top Bottom