Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,195
2,758
Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada.

Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo

1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa mkopo awamu hii ama nyingine. ili upate taarifa lazima uje mitandaoni washkaji waweke screenshot ndio utajua kuna wale ambao wako allocated

2. Kilio cha ufinyu wa ada , wanufaika waliopangiwa kinasikitisha sana imagine ada ya programe ni 1.5 M lakini bodi wanatoa ada 200k kwelii!

3. Hawatoi list ya majina ya watu waliopata kiasi kwamba hili zoezi linaendeshwa pasipo uwazi wowote wakuu. tofauti na mwanzo miaka ya 2015s walikua wanatoa list na ku updates kwenye account

4. Status kwenye account ya mnufaika imekua ikibadilika mara kwa mara mfano unaweza pata status ya "congratulations your application is verified complete wait for allocation process" later on wanakuambia application is not complete rekebisha sehemu fulani !!

Note: Ndugu zangu mimi ni miongoni mwa wale ambao walipata mkopo kwa mbinde sana ,Kama sio MUNGU kumtumia Abdul Nondo sidhani kama ningetoboa kwani Rais magufuli alitoka hadharani nakusema pesa yake aliyotenga kwa ajili ya wanafunzi haijaisha aiseeh wakaja kutoa Batch nyingine tukapata mikopo asilimia 100 wotee,MAMA SAMIA WASAIDIE HAWA VIJANA WAPATE HAKI YAO, TUNAIMANI NAWEWE
 
Watu tumekata tamaa tu kwakwelii.
Inaumiza unaingia kwenye account unakuta wait for allocation na hawakupi.
Mungu atutetee
 
Tanzania kama nchi haijawahi kuwa efficient in anything. Walau itokee siku moja nasi tujisifu kuwa tumefanya jambo fulani kwa usahihi mfano elimu, au kilimo, barabara. Yani kila kitu tanzania ni kama kiko kwenye majaribio au ni by the way
 
Uko sahihi,ni tkataka tupu huko HESLB! Mzanzibar nawafix wabara johnthebaptist ingawaje wewe john umetupwa nje ya awamu hii....... nawe unaokoteza huko uliko :D :D :D :D
 
Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada.

Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo

1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa mkopo awamu hii ama nyingine. ili upate taarifa lazima uje mitandaoni washkaji waweke screenshot ndio utajua kuna wale ambao wako allocated

2. Kilio cha ufinyu wa ada , wanufaika waliopangiwa kinasikitisha sana imagine ada ya programe ni 1.5 M lakini bodi wanatoa ada 200k kwelii!

3. Hawatoi list ya majina ya watu waliopata kiasi kwamba hili zoezi linaendeshwa pasipo uwazi wowote wakuu. tofauti na mwanzo miaka ya 2015s walikua wanatoa list na ku updates kwenye account

4. Status kwenye account ya mnufaika imekua ikibadilika mara kwa mara mfano unaweza pata status ya "congratulations your application is verified complete wait for allocation process" later on wanakuambia application is not complete rekebisha sehemu fulani !!

Note: Ndugu zangu mimi ni miongoni mwa wale ambao walipata mkopo kwa mbinde sana ,Kama sio MUNGU kumtumia Abdul Nondo sidhani kama ningetoboa kwani Rais magufuli alitoka hadharani nakusema pesa yake aliyotenga kwa ajili ya wanafunzi haijaisha aiseeh wakaja kutoa Batch nyingine tukapata mikopo asilimia 100 wotee,MAMA SAMIA WASAIDIE HAWA VIJANA WAPATE HAKI YAO, TUNAIMANI NAWEWE
Nauliza Si kwa ubaya lakini hivi kwani mkopo ni haki yako?
 
Tanzania kama nchi haijawahi kuwa efficient in anything. Walau itokee siku moja nasi tujisifu kuwa tumefanya jambo fulani kwa usahihi mfano elimu, au kilimo, barabara. Yani kila kitu tanzania ni kama kiko kwenye majaribio au ni by the way
ni kweli chief,ni hatari sana kwa vijana masikini wenye uhitaji wa mikopo hii ya elimu ya juuu
 
Nauliza Si kwa ubaya lakini hivi kwani mkopo ni haki yako?
mkopo ni kama public subsidy kwa wanafunzi wenye uhitaji hasa hawa masikini wenye vigezo. but kulingana na katiba yetu mkopo huu sio haki ya mnufaika ila ni upendeleo tu wa serikali. ila duniani kote mkopo wa elimu ya juu ni haki ya wanafunzi chief ndivyo ninavyo elewa
 
Back
Top Bottom