hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira ya uuzaji wa chakula katika maeneo mengi ya Stendi ni hatarishi kwa afya

    Salaam Wakuu, Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula. Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala. Hali...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme ni mbaya sana Mkoa wa Mara, sijui ulipo hali ikoje?

    Jana nimeanza kutafuta Generator ,biashara yangu kwa mwezi sasa imekuwa na changamoto kubwa sana ya umeme nimepata hasara ambayo siwezi kui cover kirahisi kabisa Tanesco tatizo nini jamani? Tunaomba basi Waziri zungumza na Taifa nini chanzo umeme kuwa tatizo? Sifikirii 2023 kupata changamoto...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

    Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa. Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari: Nchi 7 kati ya 10 zina hali mbaya

    Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuelewa kwanini wanawake wa Kiislam wanabanwa kwenda misikitini, huku kwa Wakristo hali imekuwa mbaya, wachungaji wanawageuza midoli

    Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote. Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  8. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

    Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha afichua mazito hali ya ushoga Arusha

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtehengerwa, amesema hali ya ushoga katika jiji la Arusha ni mbaya kwa sababu inakadiriwa zaidi ya vijana 400 wanajihusisha na vitendo hivyo na kuwataka madiwani kuvikemea katika maeneo yao. Aidha, amesema kuanzia hivi sasa nyumba za starehe zikiwemo baa na...
  11. Mr Q

    JamiiForums Tanzania SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Machinga apigwa na Mgambo usiku huu hali yake ni mbaya, polisi watanda

    Machinga mmoja ambae hadi sasa hajafahamika jina lake amepigwa vibaya na mgambo wa jiji la Arusha na hali yake inasemekana ni mbaya. Adha hiyo imetokea mida hii ya usiku baada ya kutokea mabishano kati ya Mgambo Na machinga na hivyo Kupelekea machinga huyo kupata kipigo Kikali kutoka kwa mgambo...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Wanasimba tupo imara sana, tuna hali zaidi na furaha kubwa kusubili match yetu ya marudiano na wydad Casablanca.

    Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba. Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa. Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hali ya Soko la Vyakula Ilala, Dar es salaam ni mbaya, watu hawajali uwepo Kipindupindu wanauza bidhaa mitaroni

    Licha ya Serikali kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Wilaya ya Ilala, bado hali ya Masoko ya Vyakula ni mbaya kwenye suala la Usafi kutokana na miundombinu mibovu ikiweko kukosekana mifereji ya kupitisha Maji Machafu, Uhaba wa Vizimba unaosababisha Wafanyabiashara kupanga...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Hali halisi ya masoko yetu msimu wa mvua

    Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha. Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa miundombinu sahihi ya Soko wala mfumo mzuri wa Maji safi na taka. Bali Mfanyabiashara ambae ni...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tanesco, wilaya ya Temeke hakuna Umeme Hali mbaya Sana.

    Taarifa Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima . Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni...
  17. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Je hii ni Hali gani ya kutopenda kula na kunywa vitu vitamu

    Tokea nikiwa mdogo nilikuwa sio mpenzi wa kula na kunywa vitu hivi na mpaka nimekuwa nimekuwa na allergies navyo havinidhuru Ila sipendi kula *Maziwa ya ng'ombe *Mayai *Nyama ya kuku,mbuzi,ngombe nakula kidogo Sana napenda utumbo *Chapati *Chakula chochote au mboga yeyote yenye mchuzi,mfano...
  18. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila...
  20. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Ukiendelea kubaki humu na hali ya hewa hii tukueleweje?

    Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
Back
Top Bottom