hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je hali ya Upatikanaji wa mafuta Zanzibar Ikoje?

    Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano. Natanguliza Shukrani.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mwili wa Binadamu baada ya kufariki

    Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
  3. JamiiForums Tanzania Hali ya mafuta ikoje huko uliko?

    Nipo Katoro mkoani Geita. Kwa zaidi ya siku moja, kuna baadhi ya sheli zimesitisha huduma. Hawana mafuta. Hiyo ndiyo hali niliyoishuhudia katika baadhi ya maeneo niliyopita katika huu Mkoa tajiri wa dhahabu. Hali ikoje kwingineko, hasa mliopo mijini DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA na DODOMA?
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao. Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa. Hali ni ngumu sana. Walevi wa pombe kali wanajifariji
  6. JamiiForums Tanzania Hali ya wanafunzi wengi wa vyuo kupunguza bidii katika masomo

    Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe Mishe). Kwa Upande wangu naweza sema, Changamoto ya Ajira wanayo ishuhudia ndio inawakosesha nguvu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikufundisha kuheshimu kila mtu bila kujali hali yao?

    Na hasa kwa wale ambao wamewahi au wapo juu kimaisha aidha kiuchumi, vyeo, akili, kiafya, umaarufu, mvuto, n.k. Kuna siku nilikuwa naitafuta sehemu fulan mtaa fulani ila nikamuona kijana fulani mtumiaji wa dawa za kulevya nikamfuata kumjulia hali na kumwambia shida yangu, bahati nzuri alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  9. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo mida ya jionii nilienda kupata zangu gahawa na kashata mitaa ya Barakuda, kilichonishtua ni kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ana emotional intelligence, utulivu wa hali ya juu

    RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai...
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala wa wadau wa Demokrasia: Lipumba asema Demokrasia iliporomoka sana awamu ya tano

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 === Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania ilianzishwa mwezi Julai 1992. Tangu wakati huo, serikali imejitahidi kukuza utawala wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  13. JamiiForums Tanzania Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha. Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

    Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga. Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili. .
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kama ni kweli tutegemee zaidi kupanda kwa diesel na petroli

  17. JamiiForums Tanzania Angalizo: Watu wa Kariakoo tusiende na matokeo yetu Tanga hali si nzuri kwetu

    Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi. Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao. Msije kusema sikuwatahadharisha.
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

    Wanatumia pikipiki ya kichina zisizo za michezo kufanya michezo, hawana helmet, gloves ngumu, guard ya viwiko, guard ya magoti, safe jacket, suruali ngumu, buti, begi lenye sponji, n.k. mwendo wa Ngiri mkia juu, kasi ya kuwapumzisha wadudu inazidi kuwa kubwa, vifo vingne nikujitakia sio Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nawashauri wanaume usiende chumvini unajimaliza hali ni mbaya sana wanawake wameamua liwalo na liwe

    Wasalaam JF, Chonde chonde mabaharia wenzangu tumia akili na maarifa katika mazingira yako yoyote yale, kuwa makini sana na afya yako. Wanawake wameamua wana kauli mbiu maisha ni mafupi wanachetua, wanachachua, wanashandua. Kwa wastani kwa huu mfumo wa network, madalali na ofisini kutumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…