TMA: Tunafuatilia kuhusu Kimbunga Freddy, hakuna madhara kwa sasa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania.

TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo kwa kuwa Kimbunga Freddy bado kipo Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi karibu na Pwani ya Madagascar.

Hewa.jpg

Pia Soma Kimbunga Kikali cha Freddy kinaelekea Afrika Mashariki
 
Hakuna cha kimbunga hapa, kama ni jana hali ilikuwa shwari leo ndio hii kuko safi . Wasitutishe!!!
 
Back
Top Bottom