halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. Charlesnbundalah

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote halali

    Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata. Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF kusema Fei Toto ni mchezaji halali wa Yanga haitoshi, itangaze adhabu kwa wahusika

    TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao. Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
  3. Sumu Boy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona. Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Sheria inaruhusu mme halali kutoa dozi kwa mwizi wa mke wake akiwafumania live ?

    Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali. Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
  6. mysara2011

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi nafasi yoyote kasoro za ndani, bar Umri :29 Elimu: Shahada ya mambo ya Computer na ulinzi wa taarifa. Mahali nakoishi: Tegeta -Dar Jinsia: Kike Tafadhali tusaidiane maana hali si hali.
  7. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania RC Mara awaondoa Makatibu wa Wabunge kwenye Kikao, adai wao si Wajumbe wa Kikao hicho

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee amewaondoka kwenye kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa huo makatibu wa wabunge ambao waliwawakilisha wabunge kwa maelezo kuwa makatibu hao siyo wajumbe halali wa kikao hicho huku akidai wabunge wengi wa mkoa huo wamekuwa na dharau na hawahudhurii...
  9. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia

    Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana. DKT BASHIRU, SONGA MBELE Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku. Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda. Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
  11. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa kisimbusi cha Azam kuiondoa TBC kwenye free local channels?

    Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria? ===== Updates Waziri Nape Nnauye ameandika Twitter, amesema tayari...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  13. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali na haki kwa baadhi ya Watumishi wa Mungu kujimilikisha kazi Mungu?

    Natumai wadau nyote mu wazima, tafadhalini naombeni mrejee kichwa cha habari hapo juu. Je ni halali na haki watumishi baadhi wa Mungu nyakati hizi kujimilikisha kazi ya Mungu ikiwa ni kweli wanaifanya hiyo kazi kwaajili ya Mungu na siyo kujinufaisha wao? Na kama ni halali je, huo uhalali...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Namuandaa mtoto awe mzoefu wa kazi halali niliyojifunza kuifanya kwa mateso baada ya msoto kitaa, Msoto haubagui mwenye degree wala aliefeli form 4

    Msoto wa mtaa huwa ni mkali sana pale ambapo mtoto asie na support akishindwa kuendelea na shule au akithitimu chuo ila hakuna ajira, msoto umefanya hadi baadhi ya waathirika waishie jela, kufanya kazi zilizo kinyume na maadili, kufanya kazi ngumu sana zenye vipato vidogo, n.k. Binafsi baada ya...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Uchaguzi wa 2020 ni Uchaguzi halali, Ushindi wa Kishindo wa CCM ni halali? Wapinzani ni Wameshindwa Kihalali au Wamedhulumiwa kwa Figisu?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu. Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo likifanyika kwa ubatili jambo hilo linakuwa ni batili. Haramu ni jambo ambalo limefanyika kinyume cha...
  16. Muddy123

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali viwandani au kwenye kampuni

    Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya...
  17. Tonytz

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kuwapeleka watoto kwa Bibi/Babu wakati wa likizo?

    Nawasalimu wadau wote wa JF. Leo nimewiwa kutaka kushirikishana kwenye hili jambo. Kumekuwa na tabia ya wazazi ikifika kipindi cha likizo ya wanafunzi, huwapeleka watoto wao Kwa Babu au bibi ambao pengine huishi vijijini, au pengine watu wanaoishi vijijini,mtoto akiwa likizo au kumalizia std...
  18. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Je ni halali jambo hili kufanyika?

    Mchango wowote wa maendeleo,mf kujenga maboma,kufyatulisha tofali na kazi nyinyingine za kiserikali iwe ktk kijiji,mtaa,kata au wilaya je ni halali kuchukuwa mchango wa mwananchi bila kumpa risiti ya kiserikali?
  19. X

    JamiiForums Tanzania Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

    JE NI HALALI MUME KULETA MTOTO WA NJE YA NDOA KATIKA NDOA YAKE/FAMILIA? Anaandika Robert Heriel, Shahidi, Sitompendelea yeyote, iwe Mimi mwenyewe au Nani. Tutakachoangalia Haki na ukweli . Huo ndio msingi na nguzo kuu katika Maandiko yangu bila kujali Nani atasema na atajisikiaje. Hilo...
Back
Top Bottom