Ndugu Rais,
Ukifunika ripoti hii unatupa wasiwasi sisi wananchi kuwa unalinda upigaji na ufisadi, na hili litakuandama kisiasa kwa muda mrefu sana.
Ndugu Rais, uchunguzi wa hizi pesa uliuagiza hadharani, wananchi tukishuhudia, tukisikia, na kwa hiyo tuna haki ya kujua je pesa zetu ziko salama...