haki

  1. JamiiForums Tanzania ABSA Bank lipeni watu haki zao; acheni kesi zisizo na maana, mnajiaibisha!

    ABSA bank hapana shaka mmerithi mikoba ya Barclays Bank, badala ya kuendekeza makesi yasiyo na kichwa wala miguu nawashauri lipeni watu stahili zao.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
  3. JamiiForums Tanzania Haki ya kila Mtanzania kupata Chanjo ya COVI 19 sawa na Ibara ya 12 na 13 za Katiba yetu ya 1977

    Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Internet ni haki yako; tumia kwa manufaa ya wengi

    Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu. UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la). Hata hivyo Jamii Forums...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama?

    Wakuu naomba kuuliza hili swali? Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea Iko hivi wakuu Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
  6. JamiiForums Tanzania Haki mojawapo ya Mbunge ni kutetea Wananchi wake na sio Serikali

    Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao. Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali. Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

    Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara. Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda...
  8. JamiiForums Tanzania Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama

    Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Ninaposema HAKI namaanisha Mungu. Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21 Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee...
  11. JamiiForums Tanzania Mteja ana haki ya faragha na usiri

    Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji Faragha ni pamoja na kutosambaza taarifa za mteja wako bila makubaliano naye. Tangaza biashara yako bila kuanza...
  12. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  15. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

    Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda. Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wapewa somo zito, CCM haiko tayari kutenda haki katika chaguzi

    ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kesi ya kuchukua mlungula inayomkabili Mwanasheria Kishenyi haki itatendeka au ni yale yale?

    Je, kesi ya kuchukua Mlungula inayomkabili Mutalemwa Kishenyi Haki itatendeka au yale yale? Mnamo tarehe 23/4/2021 majira ya saa mbili usiku mwnasheria Mwandamizi katika ofisi ya mashtaka ya wilayani Babati mkoani Manyara alikamatwa akipokea rushwa ya shilingi milioni tano (5,000,000)...
  18. JamiiForums Tanzania Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

    Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti. Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake. Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

  20. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…