Habari za wakati huu;
Katika kufanya kazi na wajasiriamli wengi huwa nakutana na wale ambao huwa wanatafuta Mbia(Partners) kwa sababu mbalimbali ikiwamo mahitaji ya mtaji,ujuzi,connnection etc.Wengi wao huwa wanjua nini wanataka na suluhu yake ni nini ili wanakuwa hawajui namna bora ya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo.
IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
Na Fadhili Mpunji
Wakati dunia inatafakari mambo yaliyojadiliwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi COP26 uliofanyika huko Glasgow Scotland, suala la uwajibikaji kwenye kukabiliana na tatizo hilo limekuwa gumzo tena, na China kwa...
Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
Taarifa Kutoka Kenya
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kinoti ahukumiwa kwenda jela kwa muda wa minne kwa kudharau Amri ya Jaji Antony Mrima
Atatumikia kifungo chake kwenye gereza lenye Ulinzi mkali la Kamiti
-----
Directorate of Criminal Investigations (DCI) boss George Kinoti has been...
Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea.
Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye.
Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku...
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.
Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu.
Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki.
Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao.
Heshima kwenu pia...
Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria.
Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama.
Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa...
Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine.
Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi.
Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo.
Katika...
Baada ya mjadala uliozuka kutokana na shahidi wa kesi ya Mbowe, nikalazimika kuipitia sheria inayolinda faragha za watu kwa nchi za Ulaya ambayo ni GDPR nikakutana na Haki ya Kusahaulika.
Haki hii inampa nguvu mteja kuwaambia watoa huduma wafute taarifa zake zote kwenye serves zao, ili mambo...
Wizara ya Katiba na Sheria imejaa uonevu÷
Wakati katika Kituo cha kutunza Wagonjwa wenye matatizo ya Afya ya akiliI (Isanga Institution ) kilichopo Dodoma, kikitakiwa kutoa Wagonjwa waliopona, kila Mwaka mara mbili, Mwaka huu 2021 wapo wagonjwa waliopona na kuruhusiwa na wizara ya Afya na bodi...
Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza harakati za kuzishtaki kampuni na taasisi za fedha anazozituhumu kuhusika katika wizi wa fedha za Serikali zilizomsababishia kesi ya uhujumu uchumi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote.
Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.
Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza...
Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekumbusha Serikali ya Tanzania kubadili uamuzi wake wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika na kurejea kwenye Mahakama hiyo ili kuimarisha heshima ya Taifa katika uwanda na kikanda.
Novemba 21, 2019 Serikali ya Tanzania ilifanya uamuzi wa kujitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.