JamiiTalks Mambo yanayoathiri Ulinzi wa Haki za Binadamu

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
495
1,000
fsds dvc.png
  • Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi)
  • Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
  • Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati
  • Uelewa mdogo wa Sheria, zikiwemo zinazohusu Haki za Binadamu
  • Kutofuata utaratibu wa Kisheria
  • Mapungufu ya bajeti katika Sekta muhimu
  • Kutotii Sheria
  • Uelewa mdogo wa Haki za Binadamu baina ya Wananchi na Viongozi wao
  • Kukosekana Uwajibakaji wa Kitaasisi na hata Mtu mmoja mmoja
 
Upvote 0

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,047
2,000
Mh Kama CCM ndo huwa wanatunga sheria kwa kuzingatia maslahi ya chana Chao bado tuna Safari ndefu.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom