haki

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia kaonesha uzalendo na kujali haki. Nampongeza

    Leo natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu ishu ya wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA ambao walifutwa uanachama hivi karibuni. Na haya maoni ninayoyatoa nikiwa nimejiridhisha kabisa na ukweli kuhusu hili sakata. Ni suala zito linalohitaji kufikiria kwa makini. Mengi...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mbona mnahangaika sana? Mlikuwa hamtaki wafungue kesi upya? Mnaingilia haki za akina halima. Acheni uhuni.

    Mbona mnakuwa na roho za ajabu ninyi wanaChadema? Hiii nini? Hamtaki wafungue kesi upya?
  4. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasichana wengi wanaona wana haki ya kupewa Salamu na sio kutoa?

    Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa? Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mungu na Mtume tena, …

    Wakati nasoma kuna jamaa walikuwa wanajiita Waarabu ingawaje kwa kuwaangalia huoni Uarabu, basi walikuwa mpaka wanajiapiza,“ Haki ya Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu“ tulikuwa tunawaita Waarabu wa kuapia, yaani mpaka aapie ndo ujue kwamba ni “Mwarabu“. Nimekumbuka mbali tu, wote tuna Utoto...
  7. WA MAMNDENII

    JamiiForums Tanzania Haki ya kudai na kilipwa fedha ya pango pasipo na mkataba wa maandishi

    Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo yangu ya kodi ikoje kisheria ?
  8. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha?

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia ubatili huu ndani ya Katiba tetu, unaopora haki ya msingi ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea...
  10. Cathy Diwani

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana haki kisheria kugawa mali za wanandoa baada ya kuvunja ndoa?

    Salaam wakuu, Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara. Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo wangu na mtalaka wake watafute watathmini wakakague mali walizochuma kwenye ndoa ili baraza hilo...
  11. Mag3

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

    Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha. Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na...
  12. Chendembe

    JamiiForums Tanzania January Makamba mnyonge mnyongene, haki yake mpeni

    Kufuatia mawasilisho ya watu mbalimbali kumhusu Mheshimiwa huyu, nililazimika kufuatilia kila hatua anayokanyaga katika jukumu lake katika Wizara nyeti anayohudumu. Pia, nilisubiri kwa hamu kubwa kuona wasilisho lake la bajeti. Hakika ya moyo wangu, nimejiridhisha kuwa Mama hakukosea kwa huyu...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Wanabodi, Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Wanafunzi shule ya msingi kukatishwa masomo kisa michango inaongezeka kila kukicha

    Salaam Wakuu Kumeibuka tabia za waalimu wa shule za msingi kuwarejesha watoto majumbani kisa hawajatoa michango mbalimbali ikiwamo ya mitihani, ulinzi na michango mingine. Kutokana na hali hii watoto wamekuwa wakitoka shule wanazunguka mitaani bila kuwa na shughuli maalumu ya kufanya...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  16. Elice Elly

    JamiiForums Tanzania Askofu jimbo la Mbinga: Amani ni tunda la haki

    Mahubiri ya Askofu John Ndimbo (Kingenzu) katika Misa ya Christmas amesisitiza kuwa bila kutenda haki hakuna Amani.Amesema haki ya watu kuchagua viongozi wao,haki ya kuishi pia amesieistiza msamaha wa kweli. Lakini amesema yeyoye anayempenda Mungu anawajali binadamu wenzake. Amesema pale mtu...
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe haki yake katika haya

    Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono. Rais Samia amefanya mambo makubwa sana kwa watumishi katika namna tatu. Hivi karibuni Serikali ilitangaza ongezeko la kima cha chini cha...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Haki ya Dhamana kwa Mtuhumiwa na maana yake

    Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake, Ibara ya 13(6) (b). Ili kuzingatia dhana hii ni muhimu kumruhusu mtuhumiwa kwa kumpa dhamana...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania George Bush amlaumu Putin kwa kuivamia 'IRAQ' kijeshi kwa uonevu pasi na haki

    George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi... Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake. Mwaka huu tutaona mengi...
Back
Top Bottom