haki

  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Demokrasia huja kwa gharama sio lelemama, wagombanao ndio mapatanao. Tozoland tusahau uchaguzi huru na wa haki mpaka pale tu

    Peace be upon you all, Awali niweke wazi mimi sio mwanachama wa chama chochote, sina kadi ya chama chochote ila napenda haki. Ukweli ni kwamba BILA KUCHAPANA KAMWE HAKUNA KUHESHIMIANA. Kenya wamefika katika level hiyo ya uwazi baada ya machafuko waliyobatizana kwa mapanga na damu kumwagika...
  2. data

    JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  3. Royal Tour

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Karim Mandonga ndio "Mike Tyson" wa ngumi za Tanzania kwa sasa

    Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson" Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani...
  6. Memtata

    JamiiForums Tanzania Karma haijawahi kunitendea haki dhidi ya madem walionitenda

    Nilishawahi kuumizwa sana kimapenzi enzi hizo lakini kuna hawa wawili hadi leo sijawahi kuwasahau, Spice na Cathe (si majina halisi) Huyu Spice alinionyesha kunipenda sana lakini alikuja kunikimbia kila alipokuwa ananiona, hakutaka hata kusimama na mimi japo kusalimiana kumbe aliambiwa na watu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bashe na Aweso mnazitendea haki nafasi zenu

    Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo...
  8. nyehura

    JamiiForums Tanzania Manara amtaka Waziri Mchengerwa asimamie haki ya kiapo chake cha Katiba

    Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda...
  9. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tudumishe Kiswahili kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki

    UTANGULIZI Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi ya uzima na uwezo wa kuniongoza katika kuandika Makala hii yenye kuleta tija hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Pia, nawashukuru na kuwapongeza JF kwa kuweka shindano hili na jukwaa hili ili kuinua vipawa vy vijana wengi hapa nchini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Daz Baba haki yako iliyodhulumiwa na Bongo Records italipwa hapa hapa duniani

    Msanii wa Bongo Records aitwae Daz Baba ambae alitoa nyimbo kali kama Nipe tano, umbo namba 8, wife nk. Alituletea album classic ya Elimu Dunia kinachosikitisha ni kwamba hajawai kufaidika na mauzo ya album yake hela za mauzo anachukua P Funk Majani ambae alitengeneza mikataba ya ujanja ujanja...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waishitaki Hungary kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu kwa kuwanyima uhuru mashoga/LGBT

    Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ECOWAS: Zuio la Twitter Nchini Nigeria lilikiuka Sheria na Haki za Binadamu

    Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

    Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo. Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic” Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Karibuni. Pasco
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kupata ajira ni huruma au haki?

    Napenda kuuliza kupata ajira ni huruma au haki? Limenitokea leo kuna nafasi ya kazi itakuwa wazi soon,mmoja wa hiyo kazi ambae kisifa analingana na Mimi kaajiriwa serikalini Nikasema isiwe kesi, ngoja nimpandie mwajiri wake niombe hiyo kazi Kumbe alikuwa hajampa taarifa bosi wake Kama...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

    Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria. Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
  20. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
Back
Top Bottom