Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,408
54,886
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.

 
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.

Hata wakikaa kimya ipo siku mawe na miti vitaongea
 
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.

Huwa nikilisikiliza visa kama hivi huwa natamani tukiwashe
 
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.


Nimemsikia Prof Kitila akisema hata tukio la Lissi serikali ilichunguze ili ukwelo ujulikane na matukio kama hayo yasijirudie tena.
 
Screenshot_20220429-210141_Twitter.jpg
 
Huyo aliyesema wao ndio serikali tutajie jina ashughulikiwe. Na huyo baunsa hakuna anaemjua? Tumtafute hawa watu walichafua sana nchi hii azima walipe kwa damu ile ile waliyomwaga

Na huyo ambaye sasa ni RPC sijui ipe muda. Atajikojolea, labda akimbilie Rwanda
 
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.


Kuna namna ya kudai haki na ikapata kusikilizwa...ukitukana kila mtu na kumdharau, nani sasa atakusaidia?
 
Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.


Kuna tatizo kubwa, taasisi husika zimeingia ganzi miguuni

29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania

MBUNGE AIBUA HOJA KUWA (THBUB) TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?



mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.

Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.

Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.
 
Msikilize mtendaji mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania , badala ya kukazia kuelezea kazi za Tume yeye anaingiza biashara, kwa kifupi alikuwa anabadilisha mada ya mahojiano baada ya kujua Tume ya Haki za Binadamu Tanzania inamapungufu makubwa ktk kutekekeza wajibu wa HAKI


25 April 2022

TANZANIA KUPIMWA , HIVYO TUME YA UMOJA WA MATAIFA (UN) HAKI ZA BINADAMU YATUA TANZANIA
View attachment 2201304
Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya UN yatua nchini; hiki ndio wanachofanya kufuatilia ahadi ilizotoa Tanzania, pia serikali yabanwa na UN kuwa iwe wazi waTanzania wafahamu serikali yao iliridhia nini ktk masuala 252 iliyosaini na kuikubali kwa niaba ya wananchi



Timu ya umoja wa mataifa ainayoshughulikia Haki za Binaadamu na utawala bora imekuja nchini kujadiliana na Tume ya Haki za Binaadamu na utawala bora juu ya masuala mbalimbali yanayohusu haki za binaadamu ikiwemo haki za binaadamu katika wananchi kufahamishwa ni mikataba gani inayohusu haki za binadamu iliyoridhiwa na serikali ya Tanzania iliyoridhia huko Geneva Uswisi Ofisi za Kamishina wa UN wa Haki za Binadamu kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic Review of Saint Vincent and the Grenadines, Papua New Guinea, Tajikistan and Tanzania


TOKA MAKTABA :

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhiani inayogusa haki za binadamu ni kama ifuatayo


23 March 2022
Geneva, Switzerland

The Human Rights Council in a midday meeting adopted the Universal Periodic Review outcomes of Tanzania

Consideration of Outcome of Universal Periodic Review of Tanzania

Presentation by Tanzania


GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique de Saint-Vincent-et-les-Grenadines, de la Papouasie-Nouvelle-Guinée, du Tadjikistan et de la Tanzanie | ONU GENEVE
 
Back
Top Bottom